Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani mi nitoke kwenye interview ya watu elfu 11 halafu bado unipigie unataka laki 2 ya saluni? aisee patachimbika...
hao wazee mnaowakumbatia kwa sifa za mgongo wa chupa kumbuka nao walikuwa vijana kama sie..
akija kukufia kiunoni Ndio utajua ....
Hahahaaaa.... Umeongea kwa msisitizo sana, red color and bold!
Ukorrebhuya.....
Mbuyuree???
Atakuwa alikuwa anaongea na lara 1
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Nimepanda lift kwenye moja ya jengo maarufu na refu hapa mjinikati karibu na Ohio st.
Niko ndani ya lift mzee mmoja smart anongea na simu kwa sauti ya maringo , upole na yenye kujiamini, kulikua kimya hivyo unasikia kabisa upande wa pili ni sauti ya kasichana... mazungumzo yalikua hivi.
Mzee.- What do you mean..i've told you before not to worry it is within my capability.
usichukue gari ya chini, chagu landcruiser au yoyote ya juu.
Mdada.- '............. .... ....... ..... ........ ........ .... ............
Mzee. - Ok no problem, njoo sasa ivi uchukue cheque kwa ajili ya kuwalipa NSSF .. niliongea namkurugenzi wake akanipromse a nice location for your appartment.... anyway we njoo ukifika go to reception i have already reserve a place....just wait me in the room nina kikao na waziri nikimaliza nakuja....
Niliwai kufika nikatoka liftini nikamuacha bado anaongea..... kwa kweli niliona hamna sababu ya kuwasema wadada wanaotembea na wazee... this dudes knows how to care jamani.
Wazee twawapenda atii,kabao kamoja mzee hoi anaangukia pembeni ka bata na mshiko anatoa wa maana!sijaandika mm,ni hili dole gumba lina kiherehere lol!
Unaridhika na kamoja?
Dada unantonesha mwenzio! kwa hyo vp lile swala langu?
As far as hana mkono wa birika,nisiridhike kwa nn,money first!huhuuuu!
Hahahaha.... ngoja nitafute mmoja