Msiwalaumu wanawake wa makabila fulani kuwa ni Malaya

Msiwalaumu wanawake wa makabila fulani kuwa ni Malaya

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,881
Reaction score
13,096
Kumekuwa na madai kuwa wanawake wa mikoa kama Manyara, Singida na wengine wanasema Bukoba Nk ni Malaya hawafai kuolewa.

Sasa swali langu ni wanawake wa mikoa gani au kabila gani sio Malaya mimi niende kuwajaribisha?

Mimi mtazamo wangu ni kuwa wanawake wote wapo Sawa ukigongewa usikimbilie kulaumu kabila kwa sababu ukioa mwanamke ambaye hujambikiri umeoa mke wa mtu/watu.

labda awe anajitambua na anahofu ya Mungu au anakupenda sana vinginevyo utagongewa tu.
 
Kumekuwa na madai kuwa wanawake wa mikoa kama Manyara,singida na wengine wanasema bukoba Nk ni Malaya hawafai kuolewa.

Sasa swali langu ni wanawake wa mikoa gani au kabila gani sio Malaya mimi niende kuwajaribisha?

Mimi mtazamo wangu ni kuwa wanawake wote wapo Sawa ukigongewa usikimbilie kulaumu kabila kwa sababu ukioa mwanamke ambaye hujambikiri umeoa mke wa mtu/watu.

labda awe anajitambua na anahofu ya Mungu au anakupenda sana vinginevyo utagongewa tu.
Nenda kwa waha
 
Ukiuliza swali gumu kama hilo kwa wanaonyeshea vidole makabila ya watu, jibu linakuwa kabila halina uhusiano na kabila la mtu na umalaya hauna kabila.
 
Mambo ya kugawa gawa Yapo Kila mahali japokuwa kuna baadhi ya sehemu zimezidi kutokana na Malezi, mazoea Yao, tamaduni zao zisizo rasmi...Mtoto akizaliwa anakuwa msafi Sana lakini mazingira ndio yanamtengeneza...Ndio maana utakuta Kila mkoa watu wake Wana Identity Fulani ya kipekee, vile vile kugongewa mke sio Jambo la kufurahisha, siku zote mafunzo tunayapata Kwa Yale tulioyapitia, kama hujapitia basi huwezi kujua uchungu wake, mtu anaposema kabila Fulani ni Malaya Sana wanaweza wakawa sahihi au sio sahihi...Watu Wana sample zao ambazo siyo lazima ziwe 100% sahihi, ukishaona Jambo Lina shuhuda nyingi za watu inabidi utie akili japo haimaanishi kuwa wapo hivyo.
 
Mke wangu ni muiraqw. Alikua na marafiki zake wairaqw pia ndio waliompokea mjini wakati anakuja kuanza kazi dar. Wale mabinti ni malaya. Mpaka leo nikiendaga maeneo yale bado nawaona wanaendelea na harakati zao. Kilichobadilika tu sasa ni masingo maza. Wife nisingemuwahi mapema nae angeweza kuingia kwenye mkumbo huo huo.
 
Kuna makabila mengine yamechangamka zaidi.
Hamna umalaya ni suala la mtu binafsi na kiroho zaidi.imagine unaoa mtu aliyezunguzunguka sana hata na watu zaidi ya 20 imagine amebeba Roho ngapi?huyo mtu bila kutubu na kusaidiwa kiroho lazima asumbue ndoa.
 
Mke wangu ni muiraqw. Alikua na marafiki zake wairaqw pia ndio waliompokea mjini wakati anakuja kuanza kazi dar. Wale mabinti ni malaya. Mpaka leo nikiendaga maeneo yale bado nawaona wanaendelea na harakati zao. Kilichobadilika tu sasa ni masingo maza. Wife nisingemuwahi mapema nae angeweza kuingia kwenye mkumbo huo huo.
Si unaona mwenyewe ni suala binafsi na mazingira.kwamba hakuna wasichana wa makabila mengine sio Malaya?
 
Hii inaitwa Hasty Generalization Fallacy.

A hasty generalization is a logical fallacy where a broad conclusion is made based on insufficient, unrepresentative, or limited evidence. Instead of looking at a typical or average situation, a person "jumps to conclusions" by applying the experience of a small sample size to an entire group or population.

This fallacy is incredibly common in everyday reasoning because it often relies on cognitive biases, personal anecdotes, or stereotypes.

People naturally gravitate toward examples that stick out to them and mistakenly extrapolate those few instances into a universal rule.
 
Kumekuwa na madai kuwa wanawake wa mikoa kama Manyara, Singida na wengine wanasema Bukoba Nk ni Malaya hawafai kuolewa.

Sasa swali langu ni wanawake wa mikoa gani au kabila gani sio Malaya mimi niende kuwajaribisha?

Mimi mtazamo wangu ni kuwa wanawake wote wapo Sawa ukigongewa usikimbilie kulaumu kabila kwa sababu ukioa mwanamke ambaye hujambikiri umeoa mke wa mtu/watu.

labda awe anajitambua na anahofu ya Mungu au anakupenda sana vinginevyo utagongewa tu.
Watu wanachekesha sana yaani ushindwe kumkojoza uje uwafungulie uzi wanawake wa Kitaita hawafai ajabu kweli
 
Back
Top Bottom