passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
- Thread starter
- #21
Sure mwanawake yoyote anaweza kuwa Malaya.Kama hutaki mwanamke Malaya usioe.
Sure mwanawake yoyote anaweza kuwa Malaya.Kama hutaki mwanamke Malaya usioe.
Mfano tabia ya uvivuHiyo kiasi unapimaje?lete statistics evidence.
Ulimfanyaje?Mke wangu ni muiraqw. Alikua na marafiki zake wairaqw pia ndio waliompokea mjini wakati anakuja kuanza kazi dar. Wale mabinti ni malaya. Mpaka leo nikiendaga maeneo yale bado nawaona wanaendelea na harakati zao. Kilichobadilika tu sasa ni masingo maza. Wife nisingemuwahi mapema nae angeweza kuingia kwenye mkumbo huo huo.
Weka statistics evidence hapo unaelezea hisia zako.Mfano tabia ya uvivu
Hadi wasukuma wapo wavivu ila ni nadra kuwakuta
Lakini kuna makabila wavivu wapo wengi zaidi ila haimaanishi ni wote
Uwe mkweli, acha kuingiza siasa katika mambo halisi yanayoeleweka bhana, Jf si ya watoto wasiojua mambo!Kumekuwa na madai kuwa wanawake wa mikoa kama Manyara, Singida na wengine wanasema Bukoba Nk ni Malaya hawafai kuolewa.
Sasa swali langu ni wanawake wa mikoa gani au kabila gani sio Malaya mimi niende kuwajaribisha?
Mimi mtazamo wangu ni kuwa wanawake wote wapo Sawa ukigongewa usikimbilie kulaumu kabila kwa sababu ukioa mwanamke ambaye hujambikiri umeoa mke wa mtu/watu.
labda awe anajitambua na anahofu ya Mungu au anakupenda sana vinginevyo utagongewa tu.
Mkuu kwa maelezo haya ni kama umeifunga mada.Natanguliza kuomba radhi kwa wote ambao mtakwazika na haya nitakayoyaandika!!
1)Warangi
2)Wanyaturu
3) Wanyiramba
4)Wakerewe
5)Wangoni
6)Wambulu
7)Wa Iraq
8)Wapare
9)Wahaya
Chimbuko la umalaya kwa haya makabila maarufu kwa mambo ya umalaya linaanzia kwenye ngazi ya familia na jamii zao nzima kwa ujumla wake!!!
Kwa bahati nzuri nimewahi kuishi na jamii hizo katika vipindi tofauti tofauti na nikajaribu kuangalia kwanini jamii hizo zinasifika kwa umalaya au ngono.....
Nikaja nikagundua kuwa kwanza jamii zao halioni kuwa hilo ni tatizo yaani wanalichukulia jambo la kawaida na stori za mke wa mtu kufanya umalaya au mtu kulala au kuzaa na shemeji yake au hata mwanaye wa kumzaa zinazungumzwa sio kama breaking news zinazungumzwa kama story za Simba na Yanga tu!!!
Yaani kwenye jamii hizo nimeshuhudia au unaweza kushuhudia mtu kalala na mke wa mwenzie alafu wapo kijiweni wanacheza draft huku wameshafumaniana........
Kwenye jamii hizo mtu kulala na shemeji yake sio story ya kuwekeana vikao ni jambo la kawaida ambalo watu husameheana juu kwa juu tu!!!!
Pia hawana adabu baina ya wao kwa wao yaani sio ajabu kukuta Kaka na dada wakitaniana kwa kutekenyana au kushikana maziwa au sehemu nyeti.....sio ajabu kukuta babu anamtania mjukuu wake wa kike kwa kumshika maziwa au makalio na mjukuu anacheka tu....ni mambo ya kushangaza sana......
Sasa unaweza ukaona mtu aliotokea kwenye jamii hiyo akija kuishi kwenye jamii ya watu waliolelewa kwenye mitazamo tofauti tofauti na wao.....
Kule kwa Wanyaturu, Wanyiramba, Warangi na wangoni kesi za mtu kuzaa na kutembea na shemeji yake au hata mtoto wake ni nyingi sana kiasi kwamba ni za kawaida!!!
Sio kwamba jamii zingine ni safi juu ya uchafu huo la hasha bali nilichogundua ni kwamba jamii zingine zina haya juu ya jambo hilo....mtu hata kama anateleza kibinadamu lakini bado uso wake una haya na anajitahidi kuweka pazia......
Na inaweza kutokea lakini unaweza usijue kabisa kwa kuwa jamii bado zina adabu juu ya jambo hilo....
NB
Ukitaka kuoa jaribu kwanza kuchunguza jamii unayotaka kuoa..... mnaweza kuwa mnatofautiana mitazamo.....
Nilikutana nae akiwa bado mdogo(miaka 19). Hajaanza kufuata mikumbo kwahiyo ilikua rahisi kumuongoza.Ulimfanyaje?
Chukua spika zile za Aborder kubwa na maiki yako 1 kisha ongeza sauti maana hatujakusikia umesemaje wanawake wa Kijita ni Malaya?labda awe anajitambua na anahofu ya Mungu au anakupenda sana vinginevyo utagongewa tu.
Kwa hio unataka aolewe yeye?Kama hutaki mwanamke Malaya usioe.
Umenikumbusha kitu ila sitakisema hapaWahaya ni exceptional
Anaweza akawa anafanya bila wewe kujua nishapigaga mmoja huyo tumemaliza kwenye story za hapa na pale namuuliza unaitwa nani ananiambia Mama fulani nikajua tu hapa nishagonga mke wa Natafuta Ajira nikalala hiviMke wangu ni muiraqw. Alikua na marafiki zake wairaqw pia ndio waliompokea mjini wakati anakuja kuanza kazi dar. Wale mabinti ni malaya. Mpaka leo nikiendaga maeneo yale bado nawaona wanaendelea na harakati zao. Kilichobadilika tu sasa ni masingo maza. Wife nisingemuwahi mapema nae angeweza kuingia kwenye mkumbo huo huo.
Tema nyongo nitamlipa mm kibatalaUmenikumbusha kitu ila sitakisema hapa
Hapana kwa leo sipo tayari kusema hii acha ikupite sitaki kuchafua uzi hapaTema nyongo nitamlipa mm kibatala
Lete statistics evidence huwezi kujisemea tu.wewe hayo mahesabu yako umeyapata wapi kama sio hisia zako tu zinasema hivyo?hata mimi naweza kusema wanawake wa Iringa au mbeya kati ya 100 99 ni Malaya ni hisia zangu tu.Watanznaia shule tunaenda but kutumia elimu imekuwa shida sana,tunaposema jamii fulani wana tabia A au Z haimanishi ni watu wote katika hiyo jamii.
Ukichukua jamii ya watu wa singida katika wanawake 100,ukakuta wanawake 90 wana character fulani basi hitimisho lake ni kuwa jamii hiyo kwa asilimia kubwa wana tabia hizo.
Wanyaturu,warangi,wapare,wambulu na wahaya oa at your own risk.
Wahenga sio wajinga.
Kuwa mbishi,oa upproveLete statistics evidence huwezi kujisemea tu.wewe hayo mahesabu yako umeyapata wapi kama sio hisia zako tu zinasema hivyo?hata mimi naweza kusema wanawake wa Iringa au mbeya kati ya 100 99 ni Malaya ni hisia zangu tu.
Kama anataka kuoa ajue tu ataoa MALAYA.Kwa hio unataka aolewe yeye?