Tutu kalundji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 532
- 1,287
Oa MJITA kama baada ya mwezi hujakimbilia hapa kuandika nyuzi kibaoKumekuwa na madai kuwa wanawake wa mikoa kama Manyara, Singida na wengine wanasema Bukoba Nk ni Malaya hawafai kuolewa.
Sasa swali langu ni wanawake wa mikoa gani au kabila gani sio Malaya mimi niende kuwajaribisha?
Mimi mtazamo wangu ni kuwa wanawake wote wapo Sawa ukigongewa usikimbilie kulaumu kabila kwa sababu ukioa mwanamke ambaye hujambikiri umeoa mke wa mtu/watu.
labda awe anajitambua na anahofu ya Mungu au anakupenda sana vinginevyo utagongewa tu.