passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Nenda kwa wahaKumekuwa na madai kuwa wanawake wa mikoa kama Manyara,singida na wengine wanasema bukoba Nk ni Malaya hawafai kuolewa.
Sasa swali langu ni wanawake wa mikoa gani au kabila gani sio Malaya mimi niende kuwajaribisha?
Mimi mtazamo wangu ni kuwa wanawake wote wapo Sawa ukigongewa usikimbilie kulaumu kabila kwa sababu ukioa mwanamke ambaye hujambikiri umeoa mke wa mtu/watu.
labda awe anajitambua na anahofu ya Mungu au anakupenda sana vinginevyo utagongewa tu.
Kwamba sio Malaya?Nenda kwa waha
Hivi,kusadikika ndiyo kuaminika? Maana kiswahili kina ugumu wake.Ukikutana na mada kama hizo, wewe zisome kama stori za kusadikika tu.
SawasawaUkikutana na mada kama hizo, wewe zisome kama stori za kusadikika tu.
Watu wanalalamika sana😂😂😂😂😂Nimejikuta nacheka tu.Ila,kulombewa mke inauma sana.Bora uibiwe milioni kumi kesi itaenda mdogomdogo.
Hamna umalaya ni suala la mtu binafsi na kiroho zaidi.imagine unaoa mtu aliyezunguzunguka sana hata na watu zaidi ya 20 imagine amebeba Roho ngapi?huyo mtu bila kutubu na kusaidiwa kiroho lazima asumbue ndoa.Kuna makabila mengine yamechangamka zaidi.
Si unaona mwenyewe ni suala binafsi na mazingira.kwamba hakuna wasichana wa makabila mengine sio Malaya?Mke wangu ni muiraqw. Alikua na marafiki zake wairaqw pia ndio waliompokea mjini wakati anakuja kuanza kazi dar. Wale mabinti ni malaya. Mpaka leo nikiendaga maeneo yale bado nawaona wanaendelea na harakati zao. Kilichobadilika tu sasa ni masingo maza. Wife nisingemuwahi mapema nae angeweza kuingia kwenye mkumbo huo huo.
Watu wanachekesha sana yaani ushindwe kumkojoza uje uwafungulie uzi wanawake wa Kitaita hawafai ajabu kweliKumekuwa na madai kuwa wanawake wa mikoa kama Manyara, Singida na wengine wanasema Bukoba Nk ni Malaya hawafai kuolewa.
Sasa swali langu ni wanawake wa mikoa gani au kabila gani sio Malaya mimi niende kuwajaribisha?
Mimi mtazamo wangu ni kuwa wanawake wote wapo Sawa ukigongewa usikimbilie kulaumu kabila kwa sababu ukioa mwanamke ambaye hujambikiri umeoa mke wa mtu/watu.
labda awe anajitambua na anahofu ya Mungu au anakupenda sana vinginevyo utagongewa tu.
Mimi nafikiri kabila pia lina mchango ku-determine tabia ya mtuSi unaona mwenyewe ni suala binafsi na mazingira.kwamba hakuna wasichana wa makabila mengine sio Malaya?
Hiyo kiasi unapimaje?lete statistics evidence.Huwa tunaangalia kiasi.
Hata kwenye uvivu kila kabila lina watu wa kila tabia lakini kuna tofauti