Msiwe mnaumizana bure bila sababu wakati wa kujamiiana

Acha kutuchanganya wewe, kichwa Cha hbr Kiswahili, kilichomo ndani Kiingereza,huu ni ulimbukeni uliopitiliza acha hizo chifu wengine tulitoroka umande.
 
Uzi wa kijinga kabisa!!! Ungeandika kwa kiswahili ungekufaa?
 
Unapopiga bao la kwanza mara nyingi miili uchoka na kukosa hamu ya tendo kurudia Tena, lakini kukosa hamu na kurudia Tena kunategemea mtu na mtu pia na umri wako ana afya yako. Wengine wakipa bao la kwanza wanaweza rudia baada ya dakika chache, au masaa machache wengine uchukuwa siku nzima kupata hamu ya kurudia tendo la ndoa, wengine utumia dawa kama Viagra, kuongeza hamu hataka. Kwa wanawake hiyo hawana labda kama amechoka na kazi na hapendi siku hiyo. Pia mwanamke akishafikia orgasm huwa wanatosheka pia Mwanamuke anaweza kuwa anakutegeshea kila mara unapohitaji ni wewe tu na nguvu zako. Ndo maana malaya anaweza kwenda na watu zaidi ya 15 kwa siku bila madhara au kuchoka.
 
Huo utafiti kwa wanaume wa bara na nchi gani?
 
Biology kabisa
 
Mkuu agiza K VANT ila wauza dawa za kuongeza nguvu za kiume wasijue unakaa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…