Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sina namna ya kukusaidia kwani maarifa mengi yako kwa kizungu na elimu ni ufunguo wa maisha ila wakati funguo zinafanana ila makufuli yanabadirika kutokana na nyakati na sehemuAcha kutuchanganya wewe, kichwa Cha hbr Kiswahili, kilichomo ndani Kiingereza,huu ni ulimbukeni uliopitiliza acha hizo chifu wengine tulitoroka umande.
Huo ni utumwa, wakati Serikali inatafakari namna ya kubadili Mtaala wa Elimu ili masomo yawe kwa lugha ya kiswahili, Wewe Unasema eti huna namna ya kunisaidia, Wewe sema tu kuwa ulikalili na huwezi kutafsiri.sina namna ya kukusaidia kwani maarifa mengi yako kwa kizungu na elimu ni ufunguo wa maisha ila wakati funguo zinafanana ila makufuli yanabadirika kutokana na nyakati na sehemu
Maakeh hapo kwanza 😃😃😃😃Nimeona Viagra imeandikwa sehemu, ayo mengine namuachia Offisho_Kid
Kipindi tangu ulipotupa wazungu mpaka ukuni unap rise and shine tena.Kurudia bao
Ni biologyNasikia ukiona ivo ujue una UTI sugu
Kwa nini?Si ungetuandikia tu kiswahili lakini
Kwan ametupeleka shule woteKwa nini?
Kama uko afadhali kuliko mimi utakuwa umeelewa- mengine ni ubishi wa kijinga tuHuo ni utumwa, wakati Serikali inatafakari namna ya kubadili Mtaala wa Elimu ili masomo yawe kwa lugha ya kiswahili, Wewe Unasema eti huna namna ya kunisaidia, Wewe sema tu kuwa ulikalili na huwezi kutafsiri.
Sijakusoma Mzee mzimaKama uko afadhali kuliko mimi utakuwa umeelewa- mengine ni ubishi wa kijinga tu