Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
I hereby declare my interest, mimi ni muumini wa damu kabisa wa Magufulification of Tanzania.
JPM was a kind of President tulomuhitaji kwa miaka mingi, he was a man of his words, a Man who made things happen.
Lets speak the truth, Tanzania's current economic shambles, Social, Cultural and political calamities are largely due to leadership failure by past governments.
Nani asiyejua kuwa mtangulizi wake ndio aliyevuta Mpunga na mikataba ambayo leo hii imetuletea ushoga?
Nani asiyejua Ufisadi mkubwa mkubwa wakutisha uliofanywa na huyu mtangulizi wake?
Kuna ipindi kilichokuwa na Ufisadi, wizi, umasikini mkubwa, Wapinzani mpaka Viongozi wa Dini kula Rushwa waziwazi kama ilivyokua kwa Uongozi wa mtangulizi wake?
Nani asiyejua JPM alikuja kuwa Mkombozi aliyekinusuru Chama Cha Mapinduzi na kukifichia aibu machoni mwa Watanzania?
Nani asiyejua kuwa JPM alirithi Nchi iloharibika kwelikweli, huku hazina kukiwa hamna kila kitu?
Nani asiyejua JPM alirithi nchi ambayo Watumishi wa Umma, hawakuwa na tena na maadili, nidhamu, na walijawa dharau?
Nani asiyejua kuwa JPM alirithi Nchi ambayo haikuwa na strategical projects yoyote?
Nani asiyejua JPM alirithi nchi ambayo ilijawa Rushwa, Masikini akazidi kuwa Masikini, huku wachache wakuendelea kujikimbikizia Mali na watoto wao?
Late President JPM should not be demonized and we as Tanzanians na vile mnatuita (Sukuma Gang) we shall stand by to condemn any humiliation and any bad mouthing directed against our Late beloved Magufuli.
Watanzania ni lazima tusimame nyuma ya Misingi aliyoiacha Hayati JPM kuhakikisha kwamba Serikali hii iliyorithi mikoba yake inatafuta appropriate solutions to the country's problems na Serikali inawajibika kama ilivyokuwa kwa JPM. JPM alitatua tatizo hapohapo, yaliyohitaji muda aliyapa muda.
JPM akisema, naondoka ila nitarudi Mwezi wa Saba, nikija nikute pamekamilika, na kweli Mwezi wa Saba alirudi, na ole wako akute maneno na sio kazi iliyokwisha, utamjua!
Leo Nchi imerudi hatua za miaka kumi nyuma, mtu anaboronga anahamishwa, watu wanakula pesa tu za nchi, nchi haina hata bei elekezi. Sasa hizi watuingizia Michele na vyakula vya GMO, havipimwi wala nini!
Taasisi nyingi zimelala, watu wamelala, wakiamka ni kupiga hela, kila mahali ni vilio, Viongozi vilio, Wananchi vilio, hivi hii Nchi ya wapi? Tunaenda wapi kama Nchi?
Tanzania Must move forward and this requires all people in this country to support the Legacy left by Late JPM.
Mtu anapofurahia kifo cha JPM, Baba aliyojitoa maisha yake, Baba aliyeamua kutufanya tuamini na sisi Watanzania tunaweza is just unpatriotic, disingenuous and intellectually dishonest.
Kiongozi wa Nchi unajinadi eti "Hata mimi sipendi kutengua, kumtengua mtu ni fedheha!" Kweli? Unamwambia nani?
Unatafuta kupendwa? Ndio imefikia hatua unawaruhusu wale kwa kamba zao? Hatima yake kila kukicha wanagombaniana kupiga hela za Wananchi, Miradi inasimama, akionekana mmoja hapendi Rushwa, mnamuwashia moto, mara vile, mara hivi, kama Taifa tunaenda wapi?
I want you (Msoga and the Fake opposition leaders) to know that, the lies and malicious propaganda peddled against our Late Beloved President JPM will not work anywhere in the country, will not work anywhere and this is simply because Tanzanians knows their real enemy!
Magufulinists believes in peace, development and well being of Tanzania na hivyo mashetani wote mnaofanya Siasa za Kumchafua Hayati JPM na kuwagawa Watanzania on the basis of tribal and regional politics, muache mara moja.
Muwe na aibu hata kidogo, mtalaaniwa na vizaazi vyenu, mambo makubwa alitufanyia huyu Mjoli wa Mungu JPM kwa miaka yake mitano tulipaswa hata tumjengee sanamu. Kwa kuhesabu mazuri makubwa aloyafanya, siwezi kuyamaliza.
Maajabu sasa kila kukicha mnapamba na kufuta popote ambapo kuna chembechembe za Magufuli.
Na nyie Vyombo vya Dola, nyote ni mashahidi na wenye macho kwa mchango wa miaka mitano ya JPM katika nchi hii, inakuaje mnachekacheka na hawa wahuni? Wahuni ambao mashariti ya zile 4R zao, ni kumchafua JPM na kumsifia aliyopo? Kwanini mnaacha haya?
Ndugu zangu Watanzania fahamuni, hatuna wapinzani, tuna kikundi cha wahuni ambao wanapambania;
Watanzania msikae kimya, amkeni. Pingeni huku mkimwomba Mungu aingilie kati. Najua uongozi wa sasa umeamua kututoa kwa Mungu, kwa sasa hamna yale maombi makubwa ya kitaifa aliyoanzisha JPM, najua ni makusudi tu wanafanya, ila ni Mungu ndio alitupitisha kwenye Covid-19, Mungu alitupunguzia ajali, Mungu alituepushia Uchumi kushuka, Mungu aliyetupa JPM aliyetuhimiza tufanye kazi kwa bidii.
Na hivyo basi sisi kama wananchi tusiache kumwambia Mungu afanye jambo. Tuombe Vyombo vya Dola Mungu avipe weledi ili badala ya kuendelea kusimamia na kikundi wasimamie masualamapana yenye maslahi ya nchi.

- Matumbo yao.
- Pesa za Wazungu.
- Ushoga ili taifa lilaaniwe, na huu ushoga unaongoza kupambaniwa na wapinzani huku ukifungiwa macho na uongozi uliopo.