Msoga Gang & Opposition Leaders, you guys should stop the demonization of our Late beloved President John Pombe Magufuli

Baada ya kusoma tu kwamba wewe ni muumini wa Magufuli nikakupuuza mara moja .
 

Nimefikiria sana kuhusu kinachoendelea nchi hii...

Mkuu Carlos The Jackal kwa kweli umeusema ukweli mkubwa sana!
Umewasemea watanzania wengi sana tena kwa mamilioni!
Ebu tafakari vyombo vya habari, Vyombo vya Dola na viongozi wake!

Wote wamefumbia macho bila kuhoji kauli kama hizo anazozitoa Lema kwa umati mkubwa na hadharani kabisa!
 
Wapinzani mpaka Viongozi wa Dini kula Rushwa waziwazi kama ilivyokua kwa Uongozi wa mtangulizi wake?
Mpinzani Gani alichukua rushwa wazi wazi? Hii tabia ya kusema wapinzani sijui Wala rushwa sijui mafisadi mnaitoa wapi ilihali wenye serikali ni CCM? Naomba ukome hii tabia, chanjo mlete nyie, Makinikia muuze nyie, hazina muifilisi nyie ila lazma mtaje upinzani kwenye lawama zenu.

Embicile
 
Sina tatizo na yote uliyoyaeleza,hemu tueleze kwa kifupi pia urafk wa Magufuli na Makonda na Sabaya common interest ilikuwa nn? Pili mpango wa kuunga juhudi viongozi wa Chadema kwa maana ya wabunge,madiwani na viongozi wengine wa chama ilikuwa ni free will au kulikuwa na bahasha au ahadi? Tatu nifafanulie kidogo kuhusu ugomvi wa CAG PROFESSOR ASSAD na Magufuli mpaka katiba ikavunja ili kumuondoa? Tusaidie tusioelewa plz....KARIBU MKUU
 

Ndani ya miaka sita mmeumiza watu na kufanya familia zao zilie, mkae mtulie mkiambiwa ukweli. Tena mtulie tulii.
 
Well said comrade, the propagation of any kind results into a true replica and goes through generations of the propagators. We wish them a happy receiving in their bid for social imperialism transformation and reforms.
Yes
 
Huu ulioandika ni upumbavu mtupu, na unaandika kwa kuwa ulikuwa mfaidika wa Serikali DHALIMU ya DIKTETA MAGUFULI. Na nakuhakikishia nchi yetu haiwezi tena kuja kuruhusu mtu DHALIMU kama Magufuli atawale tena baada ya Mungu kutuonea huruma na kutusaidia watanzania kumtoa yule NDULI mwaka 2021.

Hatuwezi kama nchi kujivunia ukali wa mtu mmoja anayetumia vyombo vya dola kuua, kuteka, kutesa kama ndiyo mfumo wa uongozi. Uongozi siyo matumizi ya bunduki, matusi, mabavu na kutumbua ovyo ovyo, bali uongozi ni busara, utawala wa sheria na akili.

Afrika tujitahidi tujenge strong institutions na siyo strong people. Unapata jitu katili kama Magufuli linaua tu watu, linasema uwongo kila siku huku linaiba fedha. No kwa midubwasha ya aina hii
 
Hata ule wa serikali za mitaa 2019 wagombea wa Chadema 90%+ walienguliwa. Yaani mipango ya kijinga kweli,mtendaji anajua leo saa 10 ni mwisho wa kupokea fomu za wagombea yeye anafunga ofisi siku nzima halafu anazima simu......wakati huo ya mgombea wa ccm imepokelewa tangu jana! HILI NIMESHUHUDIA KWA MACHO YANGU
 
humu ndani fb wanaomtukana jpm ni wachagga wa chadema ambao walibwagwa kwenye ubunge pamoja na mfalme wao wa maisha gaidi mbowe. wengine wanaomponda makufuli walikuwa na vyeti feki na wengine wauza dawa za kulevya hao lazima wamchukie jembe la taifa wengine ni matajiri ambao kwa sasa awamu hii ya 6 ndio wanaokula nchi vibaya sana. wezi wakubwa sana matajiri ndio hao wanaomchukia jpm, wengine ni wafanya kazi wapigaji wa madili serikalini viongozi serikalini ambao kwa sasa wanakula mabilion kwa urefu wa kamba zao ,hakuna miradi yoyote inayoendelea. hiyo ya jpm inasuasua , vita vya kumtangaza vibaya jpm ilifanywa kwa gharama kubwa sana sana , kuonyesha umma kuwa jpm mtu mbaya , lakini ukiwa mkweli mtu wa mungu na mchapa kazi , mungu anakuwa mtetezi wako ndio maana watanzania wengi hawaamini na hawakubali kumsema jpm vibaya, jpm ni nembo ya taifa letu ndio maana vyama uchwara vinajaribu kumsema marehemu lakini marehemu anakuwa mshindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…