Best Tanzania
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 483
- 688
Wacha weee! Lipi ni Lipi? Alitumwa kama VP? Au Alitoroka kama Samia?Mbona SSH akiwa Vp alipokua kwenye vikao vizito Nairobi alitoroka kwenda kumuona Lissu hospitalini?
Irrelevant, trivial and unrelatedSo Did Mwinyi na uzee ule ila alipanda ndege kumjulia hali Lissu.
Unalazimisha kitu hapa, the scenario mliyotengeneza, kuonyesha ndii ukatili, hayawezekani. Hoja ni batili. kwamba alikuwa katili kwa sababu hakwenda hospitali? haina maana. Haikubaliki kwa ukweli wowote.So kama hujazoea huo moyo (Obviously coz JPM hakuna na ubinadamu) ndio mjifunze Sasa kwamba wapo watu wanaona utu ni mkuu kuliko Urais (SSH na Mwinyi).
Alipendwa na kikundi Cha wachache wenye husda, fitna, majungu, majungu, majambazi, roho mbaya, elimu ndogo na ujinga wa asili.Sasa JPM aingie mioyoni Mara ngapi?
JPM hakupendwa na KIKUNDI Cha watu wachache WAHUNI ambao Masilahi Yao yaliguswa Moja Kwa Moja.
Wasomi walomchukia JPM ni wale Vijana wale wasokua na ajira na hawataki kufanya kazi za kawaida lkn zenue Maisha.Alipendwa na kikundi Cha wachache wenye husda, fitna, majungu, majungu, majambazi, roho mbaya, elimu ndogo na ujinga wa asili.
Kwa nini kundi kubwa la wasomi halikumuunga mkono?
Watu wachache waliokuwa wanaamini umasikini wao umesababishwa na matajiri wachache.
Bangi tupuWell said comrade, the propagation of any kind results into a true replica and goes through generations of the propagators. We wish them a happy receiving in their bid for social imperialism transformation and reforms.
Wasomi wapi?Wasomi walomchukia JPM ni wale Vijana wale wasokua na ajira na hawataki kufanya kazi za kawaida lkn zenue Maisha.
jPM alikubalika na wasomi
Jitahidi kutumia lugha moja unapotaka kufikisha ujumbe kwenye jamii. Kwenye hili andiko kuna watakao elewa nusu nusu. Umechanganya lugha sana.Magufulinists believes in peace, development and well being of Tanzania na hivyo mashetani wote mnaofanya Siasa za Kumchafua Hayati JPM na kuwagawa Watanzania on the basis of tribal and regional politics, muache mara moja.
Kwa akili yako basi hata Idd Amin, Hitler, Mussolini and other dictators pia bado wanaishi kwani vita dhidi haitoisha mpaka na vitabu vinavyozungumzia madhila waliyoyafanya vipo na vitaendelea kuwepo.Bado anaishi, ndiyo maana vita dhidi yake haitawahi kuisha.
Hivi the time Magu authoritarian government was terrorizing people, talking nonsense shit(sijaleta tetemeko), kupora fedha za watu waliosota miaka lukuki kukuza mitaji yao, kuteka na kutesa watu wenye mitazamo ya kisiasa/kiuchumi/kiutawala tofauti na yake yalikuwa ni kwa ajili ya 'kuwa-demonize' raia kama visasi kwa wale wanaopambana na kufanikiwa?Hakuna sababu yeyote ile, hakuna mantiki yeyote ile, zaidi ya visasi binafsi vya kumdemonize Hayati Raisi. Zaidi ya hapo, ni kumezeshwa siasa za mabepari wa kikaburu ambao kiuhalisia ndio walioporomoka Kiuchumi. Visasi vyao ndivyo navyo wamebebeshwa CHADEMA as a get out of jail condition!
Najua wanaumia rohoni, ila hawana jinsi. A price to pay for freedom and 'Baraka'.
Kichaa yule aliyekuwa akipambana kuiua private sector? Kwenye private sector alikuwa mnyama mbwa.Wasomi walomchukia JPM ni wale Vijana wale wasokua na ajira na hawataki kufanya kazi za kawaida lkn zenue Maisha.
jPM alikubalika na wasomi
Kwa akili yako basi hata Idd Amin, Hitler, Mussolini and other dictators pia bado wanaishi kwani vita dhidi haitoisha mpaka na vitabu vinavyozungumzia madhila waliyoyafanya vipo na vitaendelea kuwepo.
Nduli Magu wakati amebaki mifupa huko Chato sisi tutaendelea kutema nyongo zetu kwa kumnanga ili kila mtawala atakaye ongoza TZ basi atakuwa akifahamu ya kuwa atakuja kukumbukwa kwa jinsi atakavyokuwa akiwatendea wananchi. Akiwa mwema atakumbukwa kwa wema na akiwa mnyama na baradhuli basi atakumbukwa kwa unyama na ubaradhuli wake.
Nilikuwepo, watu walikuwepo na hayo unayodai alifanya, sio kweli!Hivi the time Magu authoritarian government was terrorizing people, talking nonsense shit
Kwanza tukubaliane kuwa huo ni mtazamo wa kibepari na fikra ya Kibeberuwaliosota miaka lukuki kukuza mitaji
Ipo wazi kuwa hakupora! Hayo maneno ya 'kupora' ndio hayo, ku demonise. Hayati hajawai kutoka ofisisni mwake afanye hayo. Kupora ni tendo ambalo linahusishwa na majambazi wa mtaaani- wapora cheni, wapora simu n.k Hayati hakufanya hayo!, kupora fedha za watu waliosota miaka lukuki kukuza mitaji yao,
Hata bodaboda wanasota, lakini wao ndio wenye laana? Unafikiri kwa nini hiyo ni hivyo? Ni wazi wakisota Mabepari na mabeberu, ndio wanaokuja juu na kukurupuka na visasi. Lieleweke hilo, kwamba wao'wazungu' wakiitafuta wanaita 'hard work' ila mtu mweusi akifanya 'hard work' yeye ana laana. Kitaelewekawatu waliosota miaka lukuki kukuza mitaji yao
Hayo ndio nayo yaita "Ugaidi" anavunaje mtu yu mfu?Hapa simply Jiwe anavuna alichopanda ila wale waliokuwa chawa wake na wanufaika wengine
Hapo tena, ati alikuwa kichaa! Kweli hayo? Madai yako ni ya uwongo. Una demonise.Kichaa yule aliyekuwa akipambana kuiua private sector? Kwenye private sector alikuwa mnyama mbwa.
mm siyo chato gang lkn tumsome vzr halafu tuyapime bila ushabiki wowote.tuwe wakweli na tukubali kusimama ktk kweli ili tuwe huru.Nyie chato gang akili zenu mnazitambua wenyewe.
vita vya uchumi ni vigumu sana.Only fools will buy this! Magufuli and his legacy? Which one?! Unaccounted disappearance of his opponents, tribal hatred, unlawful undertakings, lies, the crushing of freedom of speech and political parties, public funds embezzlement in the name of ambitious projects, nepotistic award of state tenders to Mayanga Construction, dictatorship and assassinations are among countless atrocities committed by your purported hero! This is the legacy left behind by the most unprofessional president ever in Tanzania and probably elsewhere in Africa.
He’s is lucky to be among the dead now, otherwise he was supposed to be answering many charges including the whereabouts of mammoth public funds which we’re beginning to learn he deposited to the banks of what he passionately referred to as mabeberu, and the many people who disappeared on account of his brutal orders.
Don’t you know that we’re only gaining huge loses from the many projects he hid behind like ATCL aircrafts which are parked on stones as we speak?
Even the most notorious personalities like Idd Amin had ardent followers because of different reasons including foolishness. I would like to know what makes you think Magufuli deserves any heroic attributes. Mtawadanganya sana wajinga.