Kwahio unadhani Christianity ndio ilianza before Civilization ? au hio University ilikuwa Kanisa ?; Sitaki kwenda huko sababu ni kupotea kwenye Imani ambapo unaweza kupoteza upeo lakini kwa sentensi yako umejifunga own goal....
The first university was the University of al-Qarawiyyin, founded in Fez, Morocco, by Fatima bint Muhammad Al-Fihriya in 859 CE. Recognized by UNESCO and Guinness World Records, it is the oldest continually operating educational institution in the world, starting as a large mosque that grew into a place of higher learning.
Huna akiliMoja ni nani kaleta story za kufukuza watu na kusema hapa au kule sio kwao ? Mimi kama Globalist mtu ni kwao pale anapoona panafaa kwake na ana-feel safe so long as anaishi kama wale waliopo after all mpaka anakwenda pale ni kwamba anavutiwa na kilichopo pale...; Ila fact is fact wewe huwezi kumfukuza mwenzake kwamba sio kwake wakati na wewe ulipora hio sehemu kutoka kwa wengine...; Na wewe kama unataka kuwafukuza waarabu huko West Africa sijui ili ufanye nini unaweza kufanya hivyo;
Watu kama nyie ni mwiba kwa Dunia wala hamna tofauti na Trump na mkiachiwa mnaweza mkawafukuza hata ndugu zetu wa Kusini ili waende Afrika Kusini; Tofautisha kuweka Historical Facts sawa na kuwa a Xenophob... (Huo ni Ugonjwa)
Nobel Prizes ?!!!!sawa lets give the devil its due, kuna nobel laureates au nobel prizes ngapi
Ndio maana nakwambia hivi vitu unavyoviona vyote leo misingi yake ilijengwa kitambo sababu watu wa kipindi cha zamani walikuwa wanaangalia vitu with open minds na walikuwa wanabishana kwamba sababu Newton au Einstein kasema hili mimi nina make it my life duty kumprove wrong leo hii mentality ya watu sababu Newton alisema basi ni msahafu....hiyo university ya moroko imeshatoa tangia kuanzishwa kwake? au innovations gani imeleta hapa duniani ambayo leo hii inasaidia dunia ? isitoshe 800 a.d mbona siyo zamani sana na tayari kulikuwa na civilizations nyingi way way older than that? ...
Nobel Prizes ?!!!!
Aisee kwahio Nobel Prize ndio umahili wa kitu fulani; Kwahio sababu Farraday na Newton hawana Nobel au hata Farraday hakwenda Univeristy yoyote basi walikuwa hawana mchango wowote ?
Don't Let Schooling interfere with your Education
Baada ya kuona baadhi ya watu wanadharau shule na wengine kuona kwamba shule ndio kila kitu hadi kujipachika Sifa za Kuelimika nimeona tukumbushane Qoute ya Mark Twain; (Writer, Humorist, Enterpreneur, Lecturer) na School Drop- Out Don't Let Schooling interfere with your Education....... Ni...www.jamiiforums.com
Ndio maana nakwambia hivi vitu unavyoviona vyote leo misingi yake ilijengwa kitambo sababu watu wa kipindi cha zamani walikuwa wanaangalia vitu with open minds na walikuwa wanabishana kwamba sababu Newton au Einstein kasema hili mimi nina make it my life duty kumprove wrong leo hii mentality ya watu sababu Newton alisema basi ni msahafu....
Na unaongelea Western takupa mfano mmoja kuhusu India wakati kina NASA space programs na funds za kutoka au ChatGPT na funds za kufa mtu pamoja na kumzuia China kupata Chips lakini aliweza kuja na DeepSeek at a fraction of a price
Chandrayaan, Mangalyaan: Why it costs India so little to reach the Moon and Mars
India has approved 227bn rupees ($2.7bn) for new space projects - but the funding is far from lavish.www.bbc.com
Na unaongelea Western takupa mfano mmoja kuhusu India wakati kina NASA space programs na funds za kutoka au ChatGPT na funds za kufa mtu pamoja na kumzuia China kupata Chips lakini aliweza kuja na DeepSeek at a fraction of a price
Chandrayaan, Mangalyaan: Why it costs India so little to reach the Moon and Mars
India has approved 227bn rupees ($2.7bn) for new space projects - but the funding is far from lavish.www.bbc.com
Achana na University tu Farraday ni Self taught ndio maana nakushangaa wewe unahusudu institutions kuliko kinachofanyika moja umeongelea University nikakwambia which is the oldest University ? Mbili nimekuelewa kabisa kutokana na kwamba great minds wanakwenda sehemu fulani na hio sehemu kuna funds basi obviously kitakachotokea ni kikubwa...; Unaona umuhimu wa University as an Institution alafu unaishusha the first and oldest standing university in the world ?michael faraday wakati wake hakukuwa na nobel prize lkn kazi zake zipo, sasa nitajie kazi za hiyo university ya motoko ...
Wewe na wao kama na yoyote yule anayejikita sana kwenye Imani nyote mnahitaji ku-break your chains; huwezi ukawa mvumbuzi na kugundua vitu kama una jibu kabla ya swali.... Ushauri - Break your Chains sababu inafunga Fikra Zako...sawa good for them chinese angalau wameweza (wachina) kujinasua na kuendelea sisi bado, plus china ni kama hakuna muslims usisahahu hilo pia na wachache walioko hawaruhusiwi kuondoka hilo eneo lao kusambaza islam unalijua hilo lkn? unafikiri ni kwa nini? ...
Hamna skendo ni mipasho tu.D.Trump kasema kwamba ilhan abdulahi omar ambaye alizaliwa nchini somalia na leo hii ni rep au Mbunge huko Minesota, aliolewa na kaka yake mzazi ili apate uraia wa USA, mambo yameanza kuiva huko USA ...
View attachment 3475925
View: https://x.com/nicksortor/status/1968783538733363598?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1968783538733363598%7Ctwgr%5E0137d77591b0b04e7a3d459045e552edc9d0e46c%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.zerohedge.com%2Fpolitical%2Ftrump-says-far-left-scum-ilhan-omar-should-be-impeached-claims-she-married-her-brother
Hmm! Trump aliomba tunda akakataliwa ama? Maana kuwa rais wa nchi kubwa kama hiyo kuna heshima yake sio kila kitu ni lazima ajibu kama maza wa hap bongo!
Utakuwa na matatizoBabu zake na Trump hawahusiki hapa. Na babu zake na Ilhan hawahusiki hapa.
Wanaohusika hapa ni Trump na huyo Msomali.
Ungrateful Woman.
Huko alikotoka hakuna chochote cha maana.
Anapewa uraia kwenye nchi za watu halafu anaanza kuiponda nchi iliyompa maisha aliyonayo sasa.
Huko kwao Somalia hawezi kubwabwaja hivyo.
Utakuwa una matatizo wwBabu zake na Trump hawahusiki hapa. Na babu zake na Ilhan hawahusiki hapa.
Wanaohusika hapa ni Trump na huyo Msomali.
Ungrateful Woman.
Huko alikotoka hakuna chochote cha maana.
Anapewa uraia kwenye nchi za watu halafu anaanza kuiponda nchi iliyompa maisha aliyonayo sasa.
Huko kwao Somalia hawezi kubwabwaja hivyo.
Ila kwenye uislamu hii inakubalika Taqqiya kama ilivyo kula kiti moto kwa kujificha.
adriz The Consigliere Jagina Adiosamigo
Hawa radical islamist wasione nchi ina practice none secular wakajioan wajanja,wazungu wakiwachoka hawataamini yatakayo kuja kuwatokea.D.Trump kasema kwamba ilhan abdulahi omar ambaye alizaliwa nchini somalia na leo hii ni rep au Mbunge huko Minesota, aliolewa na kaka yake mzazi ili apate uraia wa USA, mambo yameanza kuiva huko USA ...
View attachment 3475925
View: https://x.com/nicksortor/status/1968783538733363598?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1968783538733363598%7Ctwgr%5E0137d77591b0b04e7a3d459045e552edc9d0e46c%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.zerohedge.com%2Fpolitical%2Ftrump-says-far-left-scum-ilhan-omar-should-be-impeached-claims-she-married-her-brother
Yaani ulitumia movie ya Hollywood kugundua kuwa wazungu Wana haki na Amerika. Huoni kwamba wake act hiyo movie kwa lengo kama hilo.hiyo argument ya watu kusema kwamba wazungu USA siyo kwao sijawahi kuilewa, i mean wazungu wameijenga USA from ground up, hivyo kwangu mimi wazungu na black amerikans wana haki ya kuclaim kwamba USA ni kwao isitoshe kuna wazungu na black amerikans wana trace roots in USA kwa zaidi ya miaka 500 kuna watanzania hatta tu miaka 100 iliyopita hawawezi kuprove chochote kama kweli hapa bongo ni kwao..
niliangalia movies za wild west zilinifungua macho sana wakati wazungu wanahamia ktk east coast kufungua western part, kulikua na mapori tu na wanyama wakali, wengi walikufa lkn wakaja kujenga miji mizuri na uchumi uliosimama from scratch mpaka leo hii kila mtu anatamani kwenda kuishi halafu mtu leo hii anatokea somalia au sijui iraki na kusema kwamba usa ni ya kila mtu kwamba wazungu siyo kwao, how ? ...