johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa hivyo kuchukua fomu ndio kumfanya kujiuzulu?Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema msomi aliyetukuka kwenye maswala ya Fedha na Uhasibu ACCA Ahobokile Mwaitenda ( mheshimiwa) ametangaza Kujiuzulu nafasi ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema
Mh Mwaitenda amefikia uamuzi huo baada ya Mwenyekiti wa sasa kutangaza Kugombea uenyekiti wa Chadema
Taarifa imetolewa Ukurasani X
Kwako Mh Lucas Mwashambwa π
ππππKwa hivyo kuchukua fomu ndio kumfanya kujiuzulu?
Wewe kunguni wa mama Abduli risiti zako tunazo hakuna namna utafanya kubadili upepo labda uombe msaada wa mods wafute hizi toilet paper zako ulizoweka humu tangu 2022.Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe Jabali na Gwiji wa Siasa za upinzani katika ukanda huu wa Afrika mashariki ndio habari ya Mjini kwa Sasa.
Hiki chama kinachekesha, katiba inaruhusu. Mbowe hajavunja katiba.Kwa hivyo kuchukua fomu ndio kumfanya kujiuzulu?
Ni haki yake ya kudemokrasia kuingia Chadema na kutoka na kyamua kujiunga na chams chechote au kuamua kutokuwa na chama sio big issueMjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema msomi aliyetukuka kwenye maswala ya Fedha na Uhasibu ACCA Ahobokile Mwaitenda ( mheshimiwa) ametangaza Kujiuzulu nafasi ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema
Mh Mwaitenda amefikia uamuzi huo baada ya Mwenyekiti wa sasa kutangaza Kugombea uenyekiti wa Chadema
Taarifa imetolewa Ukurasani X
Kwako Mh Lucas Mwashambwa π
Akili hana huyo kajaza makaratasi tu ya vyeti kabatini kwakeKwa hivyo kuchukua fomu ndio kumfanya kujiuzulu?
Haya Ya KawaidaMjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema msomi aliyetukuka kwenye maswala ya Fedha na Uhasibu ACCA Ahobokile Mwaitenda ( mheshimiwa) ametangaza Kujiuzulu nafasi ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema
Mh Mwaitenda amefikia uamuzi huo baada ya Mwenyekiti wa sasa kutangaza Kugombea uenyekiti wa Chadema
Taarifa imetolewa Ukurasani X
Kwako Mh Lucas Mwashambwa π
Siyo wa kaskazini.Tatzo nn
Wasomi wote walishasepa CHADEMAMjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema msomi aliyetukuka kwenye maswala ya Fedha na Uhasibu ACCA Ahobokile Mwaitenda ( mheshimiwa) ametangaza Kujiuzulu nafasi ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema
Mh Mwaitenda amefikia uamuzi huo baada ya Mwenyekiti wa sasa kutangaza Kugombea uenyekiti wa Chadema
Taarifa imetolewa Ukurasani X
Kwako Mh Lucas Mwashambwa π
Rejea: sumu haionjwiI SUPPOSE MBOWE IS BEHIND SO MANY EVIL THINGS THAT ARE HAPPENING IN THE DARKEST PLACES.
Ccm mmejaa mapumbavu tupu badala ya kupongezana ushindi wenu fake wa asilimia 99 mmebaki na sonona na bado mpaka mtubu Kwa upumbavu wenu wa kuiba kura.Akili hana huyo kajaza makaratasi tu ya vyeti kabatini kwake