Hapo ndio pabaya sana, Kiingereza ni lugha tu hiyo ambayo unaweza kujifunza lakini ukawa huna lolote unaloweza kufanya ili kupambana na mazingira yanayokuzunguka.Kibongo bongo msomi ni anayejua kingereza.
Safi sana; sasa hawa vijana wetu wanaolalamikiwa na waajiri kwamba utendaji kazi wao haufai tuwaiteje? Na tuwasaidieje?Msomi ni mtu ambaye elimu yake imebadilisha kutoka alivyokuwa hajasoma mpaka akamaliza elimu yake
Na kubadilika ni kwenye nyanja mbalimbali kuanzia the way he behave,the way anavyointeract na watu, the way anavyosolve changamoto mbali mbali, the way he think n many more
Ulaya tena! Mbona hivyo jamani?Msomi ni mtu ambaye anakwenda sambamba na maisha ya Ulaya full stop. Kama wewe utakuwa haufanani na maisha ya ulaya basi wewe utakuwa ni mzigo kwa jamii yako inayokuzunguka 😀😀😀😀😀😀
Asante mkuuNaona uzi unatiririka na waliokimbia umande...poleni
Msomi kwa lugha ya kimombo ni Intellectuals, ni yule aliemaliza hatua zote za masomo hadi kufikia ngazi ya chuo kikuu na kubobea moja wapo ya taaluma zinazotolewa huko......
Kwamba sijui mazingira, sijui kubadili maisha....haina uhusiano...life is how you make it....full stop
Ni kweli kabisa, ni wavivu kusoma. Ni wavivu kuuliza, ni wavivu kujaribu ..Hao wamesoma lakin hawajaelimika na kuhusu kusaidiwa ni wao waanze kujitambua kwanza kama msomi aweje in short wajitambua
Naona uzi unatiririka na waliokimbia umande...poleni
Msomi kwa lugha ya kimombo ni Intellectuals, ni yule aliemaliza hatua zote za masomo hadi kufikia ngazi ya chuo kikuu na kubobea moja wapo ya taaluma zinazotolewa huko......
Kwamba sijui mazingira, sijui kubadili maisha....haina uhusiano...life is how you make it....full stop
Fafanua hapo mkuuwanasheria tu ndio wasomi wengine wote mnaenda shule,hili linatambulika dunia nzima
Kama ni hivyo, akina Galileo, Newton walisoma wapi?Asante mkuu hii ndio maana halisi ya hilo neno
Kama ni hivyo, akina Galileo, Newton walisoma wapi?
Na kuyafanya hayo mazingira yawe na tija kwake na kwa jamiiMsomi ni yule aliye yamudu mazingira yanayo mzunguka.. .mengine ni mbwembwe na sifa za kipuuzi tu.