Msomi ni nani

Msomi ni nani

Msomi ni mtu ambaye elimu yake imebadilisha kutoka alivyokuwa hajasoma mpaka akamaliza elimu yake
Na kubadilika ni kwenye nyanja mbalimbali kuanzia the way he behave,the way anavyointeract na watu, the way anavyosolve changamoto mbali mbali, the way he think n many more
 
Safi sana; sasa hawa vijana wetu wanaolalamikiwa na waajiri kwamba utendaji kazi wao haufai tuwaiteje? Na tuwasaidieje?
 
Msomi ni mtu ambaye anakwenda sambamba na maisha ya Ulaya full stop. Kama wewe utakuwa haufanani na maisha ya ulaya basi wewe utakuwa ni mzigo kwa jamii yako inayokuzunguka 😀😀😀😀😀😀
 
Hao wamesoma lakin hawajaelimika na kuhusu kusaidiwa ni wao waanze kujitambua kwanza kama msomi aweje in short wajitambua
 
Ulaya tena! Mbona hivyo jamani?
 
Msomi ni yule anayejitambua na kuyamudu mazingira yake vizuri, na pia awe msaada kwa wengine kwa kutumia elimu yake
 
Naona uzi unatiririka na waliokimbia umande...poleni
Msomi kwa lugha ya kimombo ni Intellectuals, ni yule aliemaliza hatua zote za masomo hadi kufikia ngazi ya chuo kikuu na kubobea moja wapo ya taaluma zinazotolewa huko......
Kwamba sijui mazingira, sijui kubadili maisha....haina uhusiano...life is how you make it....full stop
 
Asante mkuu
 
Hao wamesoma lakin hawajaelimika na kuhusu kusaidiwa ni wao waanze kujitambua kwanza kama msomi aweje in short wajitambua
Ni kweli kabisa, ni wavivu kusoma. Ni wavivu kuuliza, ni wavivu kujaribu ..
 
Dah... ni mbunge...anayejua kusoma na kuandika 😎😎
 
unaanzisha uzi wa kuuliza then una wa-limit watu jinsi ya kutoa majibu, maana yake una majibu teyari kichwani mwako.
 
Mtu anaeweza kutumia nguvu ya Elimu alionayo kuleta tija katika jamii!
 
Naona uzi unatiririka na waliokimbia umande...poleni
Msomi kwa lugha ya kimombo ni Intellectuals, ni yule aliemaliza hatua zote za masomo hadi kufikia ngazi ya chuo kikuu na kubobea moja wapo ya taaluma zinazotolewa huko......
Kwamba sijui mazingira, sijui kubadili maisha....haina uhusiano...life is how you make it....full stop

Asante mkuu hii ndio maana halisi ya hilo neno
 
Msomi ni yule aliye yamudu mazingira yanayo mzunguka.. .mengine ni mbwembwe na sifa za kipuuzi tu.
Na kuyafanya hayo mazingira yawe na tija kwake na kwa jamii
 
Back
Top Bottom