Msonde maagizo yako yanaipoteza elimu

Acha makelele mengi yasiyo na msingi.Performance agreement ni muhimu na inafanywa Kwa Watumishi wote.

Lengo ni kuwajua wavivu,wenye midomo na wasio na matokeo kama wewe mtoa mada.
 
Ushauri wangu kwa hao mabosi wa elimu sijui ndo wadhibiti ubora msiishie kukagua maandalio na lesson notes pekee mpange na muda wa kuwasiliana na Wanafunzi kwani kuna mengi huko kuwahusu hao washika chaki wao na dropouts.
 
Binafsi nishaliongelea sana huyu jamaa hakuja kujenga bali kubomoa
Who cares?
Stahiki za MTEULE Dr
1. V8 na dereva,
2. Free airtime (monthly),
3. Per diems,
4. Responsibility allowance,
5. Up keep allowance,
6. Sitting allowance,
7.outfit allowance,
8. Housing allowance.
 
Elimu tanzania haieleweki ,viongozi wa wa juu wa elimu pia hawaelewi elimu tanzania inataka nini,

watoto wanaambiwa wafundishwe kwa kingereza mwanzo hadi mwisho hahahaa matokeo yake mtoto anarudi nyumbani jioni kama alivyo kuja asubuhi , watu wana theories za vichwani halafu wanaamini yatafanikiwa kwenye practical ni bange hizi.

Wanasahau huyu mtoto kasoma kishwahili kitupu miaka 9 halafu leo kafika tu sekondari anakutana na kingereza kitupu eti wanaamini mtoto atakuwa na hamasa ya kutafuta na kujifunza kingereza ili aelewe kumbe mambo ni tofauti na matarajio yao kabisaaa

mtoto huyu huyu aliye enda sekondari hata kuandika na kusoma vizuri kwa ufasaha kiswahili hicho hicho hajui kutokana na athari za lugha mama eti leo awe na hamasa ya kutafuta msamiati wa kingereza alio usikia kwa mwalimu wakati anafundishwa kwa kingerez kitupu?
 
Ushauri wangu kwa hao mabosi wa elimu sijui ndo wadhibiti ubora msiishie kukagua maandalio na lesson notes pekee mpange na muda wa kuwasiliana na Wanafunzi kwani kuna mengi huko kuwahusu hao washika chaki wao na dropouts.
Hilo linafanyika mbona?
 
Sijaelewa wao wanaamini nini katika ufahamu wa binadamu , kifupi sio lazima wote tupite njia inayo fanana, hakuna ulazima wa kumlazimisha mtu kusoma kwa mifumo hii iliyopo na madude ambayo kichwa chake kimesha kataa kuyapokea,

ndio maana kila mtu anakipaji chake hapa duniani sitaki kuamini kwamba kusoma kwa mfumo huu uliopo wa kukalilishana matakataka meeengi ni kipaji cha binadamu wote.
 
Malengo yao ni kuumiza shule za kayumba watoto wao hawasomi huku,wanaogopa kutoa mikopo ya elimu ya juu
 
Sijaelewa bado lengo haswa la msonde ni nini, maana ni kama anavuruga badala ya kujenga. Kuna na hiyo MEWAKA yaani ni full mvurugano.
Hiyo mewaka haijaenda na Trump?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…