Msonde maagizo yako yanaipoteza elimu

Msonde maagizo yako yanaipoteza elimu

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
Kwa ufupi tu msonde tangu ufike Tamisemi umekuwa na Mambo mengi Sana ambayo mengine hayana ufanisi ebu yapunguze, kutokana na karenda kuanzia tarehe 31/03/2023 ni likizo Ila kutokana na maagizo yako ya ajaubu ajabu likizo imekuwa Kama kiini macho shule zinaendelea na kazi wanafunzi na walimu wanakiwa kuwepo shuleni eti KPI huu ujinga mmeutoa wapi Yani umeleta mambo mengi mpaka sasa uko mashuleni baada ya walimu kufundisha walimu wamekuwa bize na kuandaa documents tu maana unamini katika tarifa siyo ufundishaji hivi nani akwambia andalio la somo likiwepo mtoto ndio ataelewa Yani mmekalia uzamani zamani pasipo kuangalia dunia inataka nini

Na nyie watu wa vetting huwa mnakwama wapi mtu Kama alikuwa mwalimu shule ya msingi uko msimpe madaraka ya kusimamia vitu vikubwa hawa watu huwa wanaalibiwa na elimu yao ya cheti hata apate udokta bado atakuwa na mambo akili ile ile ya kidato Cha nne ndio haya msonde anayofanya Kama mnabisha subilieni natokea ya kidato Cha nne na darasa la saba na darasa la nne mwakani uyu msonde kaja na vitu vya hivyo hivyo katika elimu

Hivi mwalimu unasainishaje mkabata mpya eti wa kufaurisha wakati uyu mwalimu tayali ni mwajiriwa na anamkataba wa kudumu wa ajira yake na serikali Ila leo unageuza walimu watoto eti saini huu mkataba usipofaurisha upandi daraja huu si utoto Yani mkataba mama unasema hivi wewe inakuja na vitu vya ajabu ajabu ebu acheni huo utoto

Kama idara zenu zinapesa za kuzungukia mashule kukagua vitu vya ajabu ajabu nashauri hizo pesa endelezeni michezo
 
Kumbe?
 
Nimesikia sehemu moja walimu wamepewa maagizo orientation course irudiwe tena kwa week 8...yaani watoto waanze tena kufundishwa upya, Sasa hata definition of biology hawajui na ni mwezi wa 4 Sasa,....thuswhy mtoto wangu siwezi kumpeleka huko.
Tatizo ni siasa, wasilazimishe watu kusoma, kuna wanafunzi hawataki shule wanaenda tu.

Watoto wanafaulishwa kwa lazima
 
Msonde, akiwa baraza la mitihani Mkoa wa Geita ulikuwa unaongoza kwa matokeo ya darasa la saba na F4, enzi za JPM
 
Tatizo ni siasa, wasilazimishe watu kusoma, kuna wanafunzi hawataki shule wanaenda tu.

Watoto wanafaulishwa kwa lazima
Mimi kitu kinachonishangaza ndio hicho. Tena unaambiwa div one mpaka three wafaulishe kwa 50% usipoweza upandi daraja, unaona Huu upuunzi kiongozi?....hivi kama huku Kijijini hakuna facilities zozote za kuwafanya hata walimu wawe motivated wataweza kwa hayo matamko?
 
Mleta mada umeandika ukweli.
Msonde anazingua Yani maagizo kila siku Sasa hivi shule kila siku ukaguzi ajabu wanaokuja kukagua wanakagua vitu vile vile

Anakuja afisa elimu na watu wake leo, wanakagua, kesho wanakuja sijui ukaguzi nini wanawakagua, siku inayofuata anakuja afisa elimu kata anakagua Yani wote hao wanakagua jambo lile, arafu wakimaliza wanaitana kikao kujadili Yale Yale , wasainishana POSHO wanaondoka next week Tena wanakuja Yani ni ujinga ujinga ujinga tu wizi mtupo katika pesa ya umma mafisa wapo busy na ukaguzi wa Jambo moja kila mwezi
 
Nimesikia sehemu moja walimu wamepewa maagizo orientation course irudiwe tena kwa week 8...yaani watoto waanze tena kufundishwa upya, Sasa hata definition of biology hawajui na ni mwezi wa 4 Sasa,....thuswhy mtoto wangu siwezi kumpeleka huko.
Si ndio ujinga huu ambao tunausema Yani mama ana kazi kubwa Sana anatakiwa atoe huu ujinga inaonekana uko katika idara zao Kuna mafungu so wapo kuyatengenezea mazingira, mama kata mafungu Hawa watu wanazingua
 
Nimesikia sehemu moja walimu wamepewa maagizo orientation course irudiwe tena kwa week 8...yaani watoto waanze tena kufundishwa upya, Sasa hata definition of biology hawajui na ni mwezi wa 4 Sasa,....thuswhy mtoto wangu siwezi kumpeleka huko.
Miezi 2 orientation? Khaaaaah
Hawako serious hawa. Lol
 
Twende mbele turudi nyums.

Msonde ni mtu kazi na ni mtu wa mabadiriko,nazani wote tumeona alichokifanya baraza,baraza lina oparate kama jeshi kiyfupi lipo smart.

Sasa huko tamisemi anataka mambo ya kale yaishe,japo kuna vitu hajazingatia ila sekta ya elimu na mifumo lazima ibadirike tuache kulia lia.

Sasa hapo mnaongelea likizo,likizo watumish ipo ya siku 28 kwa mwaka,likizo zingine ni za wanafunzi,kama kuna kazi za kufanyika mashulen bila wanafunzi kuwepo zifanyike,hiyo mifumo ishughulikiwe.

Jambo ambalo napingana nae ni hilo la watoto kurudia orientation course,kwa muda upi uliopo?je topic zitamalizwa lini?

Pia watoto wasilazimishwe shule na ufaulu usilazimishwe
 
Back
Top Bottom