Msonde maagizo yako yanaipoteza elimu

Msonde maagizo yako yanaipoteza elimu

Kwa ufupi tu msonde tangu ufike Tamisemi umekuwa na Mambo mengi Sana ambayo mengine hayana ufanisi ebu yapunguze, kutokana na karenda kuanzia tarehe 31/03/2023 ni likizo Ila kutokana na maagizo yako ya ajaubu ajabu likizo imekuwa Kama kiini macho shule zinaendelea na kazi wanafunzi na walimu wanakiwa kuwepo shuleni eti KPI huu ujinga mmeutoa wapi Yani umeleta mambo mengi mpaka sasa uko mashuleni baada ya walimu kufundisha walimu wamekuwa bize na kuandaa documents tu maana unamini katika tarifa siyo ufundishaji hivi nani akwambia andalio la somo likiwepo mtoto ndio ataelewa Yani mmekalia uzamani zamani pasipo kuangalia dunia inataka nini

Na nyie watu wa vetting huwa mnakwama wapi mtu Kama alikuwa mwalimu shule ya msingi uko msimpe madaraka ya kusimamia vitu vikubwa hawa watu huwa wanaalibiwa na elimu yao ya cheti hata apate udokta bado atakuwa na mambo akili ile ile ya kidato Cha nne ndio haya msonde anayofanya Kama mnabisha subilieni natokea ya kidato Cha nne na darasa la saba na darasa la nne mwakani uyu msonde kaja na vitu vya hivyo hivyo katika elimu

Hivi mwalimu unasainishaje mkabata mpya eti wa kufaurisha wakati uyu mwalimu tayali ni mwajiriwa na anamkataba wa kudumu wa ajira yake na serikali Ila leo unageuza walimu watoto eti saini huu mkataba usipofaurisha upandi daraja huu si utoto Yani mkataba mama unasema hivi wewe inakuja na vitu vya ajabu ajabu ebu acheni huo utoto


Kama idara zenu zinapesa za kuzungukia mashule kukagua vitu vya ajabu ajabu nashauri hizo pesa endelezeni michezo
Mwalimu REJESHO HURU, mbona uandishi wako wa hovyo sana? Kama mwalimu kuandika vizuri huwezi, Kiswahili kinakupiga chenga, hao watoto wetu watakuwa kwenye hali gani?
 
Twende mbele turudi nyums.

Msonde ni mtu kazi na ni mtu wa mabadiriko,nazani wote tumeona alichokifanya baraza,baraza lina oparate kama jeshi kiyfupi lipo smart.

Sasa huko tamisemi anataka mambo ya kale yaishe,japo kuna vitu hajazingatia ila sekta ya elimu na mifumo lazima ibadirike tuache kulia lia.

Sasa hapo mnaongelea likizo,likizo watumish ipo ya siku 28 kwa mwaka,likizo zingine ni za wanafunzi,kama kuna kazi za kufanyika mashulen bila wanafunzi kuwepo zifanyike,hiyo mifumo ishughulikiwe.

Jambo ambalo napingana nae ni hilo la watoto kurudia orientation course,kwa muda upi uliopo?je topic zitamalizwa lini?

Pia watoto wasilazimishwe shule na ufaulu usilazimishwe
Baraza liko SMART?
Yaani baraza kufaulisha wanafunzi ndo kuwa smart? Kuwaambia wasahihishaji (mpatie alalama,unasoma nini wakati alama siyo zako ni za baraza?) Umezingua sana mkuu.
 
Baraza liko SMART?
Yaani baraza kufaulisha wanafunzi ndo kuwa smart? Kuwaambia wasahihishaji (mpatie alalama,unasoma nini wakati alama siyo zako ni za baraza?) Umezingua sana mkuu.
(mpatie alalama,unasoma nini wakati alama siyo zako ni za baraza?)

UMEANDIKA NINI HII?
 
(mpatie alalama,unasoma nini wakati alama siyo zako ni za baraza?)

UMEANDIKA NINI HII?
Kauli za hao unaosema wako SMART kipindi cha usahihishaji wa mitihani ya Taifa.Km kuna makosa hayo hata wewe unafafanya sana hapa,na hilo neno nime lirudia rudia sasa sijui hujavaa miwani yako ama unakwepa kwa makusudi.

Una lingine nikusaidie?
 
Sijaelewa bado lengo haswa na msonde ni nini, maana ni kama anavuruga badala ya kujenga. Kuna na hiyo MEWAKA yaani ni full mvurugano.
Mwalimu, "lengo haswa na msonde- lengo haswa la Msonde".

Uandishi huu !!!
 
Si ndio ujinga huu ambao tunausema Yani mama ana kazi kubwa Sana anatakiwa atoe huu ujinga inaonekana uko katika idara zao Kuna mafungu so wapo kuyatengenezea mazingira, mama kata mafungu Hawa watu wanazingua
Zingatia herufi kubwa inatakiwa wakati gani katika uandishi.
 
Walimu wamegeuzwa wase**** kwa kuletewa manyoka nyoka ummy mwalimu alisema likizo walimu na watoto wapumzike Sasa uyu msonde kawaletea ujinga huo arafu hivi uyo msonde umri wa kustafu ujafika kweli maana uzee una shida
Acha matusi.Toa hoja ujibiwe kwa hoja. Uandishi mbovu mno. Unafundisha darasa la ngapi?
 
Back
Top Bottom