Msondo ngoma wanadai walipwe mil 300 na WCB

Wewe ndo hujaelewa...kasema mauzo ya wimbo wa msondo ngoma
 
Njaa tu, hii kesi hawawezi kushinda wanapoteza muda. Yaani hakuna kosa pale.
Na hata kama kungekua na sheria inabana hiyo, kile kionjo hakiwezi worth 300m.
 
Aiseee
Je wana copyright ya huo wimbo
 
Hakumaanisha wimbo wa "zilipendwa" ndiyo umeuza chini ya 1m, amemaanisha wimbo wa "wanaume tumeumbwa mateso" ndiyo haukuuza zaidi ya 1m.

Tuwe makini tunapotaka kujibu hoja za watu.
 
mbona kionjo cha neno "nakupenda" wamekitumia wengi sana......au hakina mmiliki
 
In life we pay for what we don't know.

WCB wazungumze na Msondo wayamalize tu.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜€ umeni nukuu mara tatu noma kweli. Kionjo cha msondo kinazidi 20%? kama hakizidi utaelewa kwanini nimeandika hivyo
Hamna kesi hapo,mawakili wanataka kuwapiga hela hao wazee tu
 
Hapo hakuna kesi yoyote..
Hio kesi siku ya kwanza tu hakimu ataipiga chini.
Kwanza kabisa hao msondo ngoma hawana Hati miliki ya hicho kionjo..
Kama wanayo basi kesi watashinda..
 
wenzao waumize vichwa wao wateleze tu,wawape haki yao.
 
Watu wanaangalia kuliko na pesa huwezi kwenda kumshtaki masikini unapoteza muda sasa atakulipa nini.
Kibongo bongo kurudia vionjo ilikuwa kawaida ila sasa wanaona wcb wanapiga ela lazima watake kulipa.
Ingekuwa siyo kawaida basi yule beka aliyerudiaga vionjo vya wasanii zaidi ya kumi kwenye wimbo wake angeuawa.
Maana alirudia wimbo wa amini, ray c, marlow, kassim mganga yani wimbo mzima alikuwa kajaza vionjo toka wasanii mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…