Kiboko.
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 2,891
- 1,214
Wewe ndo hujaelewa...kasema mauzo ya wimbo wa msondo ngomaNi haki yao ya msingi kudai... kuhusu mauzo sio kweli kwamba hayakufikia m1. Kumbuka Diamond (WCB) Malipo anayopata kwa mwezi kutokana na views YouTube, wimbo unauzwa katika App tofautitofauti, wimbo unatumika kama callerTunes katika makampuni ya simu, hapo bado hatujaangalia Vingilio vya show mbalimbali ambazo anauimba wimbo huo halafu unasema eti hata m1 haujaingiza?
Siku nyingine Ukiongea maneno hayo mbele ya wafuatiliaji na wadau wa mziki watakudharau. Mziki wa zamani tofauti na wasasa.
Ushawahi kujiuliza kwanini A.Y na mwana F.A wanaidai fidia ya tsh. BILIONI MBILI kampuni ya TIGO?