Msondo ngoma wanadai walipwe mil 300 na WCB

Msondo ngoma wanadai walipwe mil 300 na WCB

Ni haki yao ya msingi kudai... kuhusu mauzo sio kweli kwamba hayakufikia m1. Kumbuka Diamond (WCB) Malipo anayopata kwa mwezi kutokana na views YouTube, wimbo unauzwa katika App tofautitofauti, wimbo unatumika kama callerTunes katika makampuni ya simu, hapo bado hatujaangalia Vingilio vya show mbalimbali ambazo anauimba wimbo huo halafu unasema eti hata m1 haujaingiza?
Siku nyingine Ukiongea maneno hayo mbele ya wafuatiliaji na wadau wa mziki watakudharau. Mziki wa zamani tofauti na wasasa.
Ushawahi kujiuliza kwanini A.Y na mwana F.A wanaidai fidia ya tsh. BILIONI MBILI kampuni ya TIGO?
Wewe ndo hujaelewa...kasema mauzo ya wimbo wa msondo ngoma
 
Njaa tu, hii kesi hawawezi kushinda wanapoteza muda. Yaani hakuna kosa pale.
Na hata kama kungekua na sheria inabana hiyo, kile kionjo hakiwezi worth 300m.
 
Ni haki yao ya msingi kudai... kuhusu mauzo sio kweli kwamba hayakufikia m1. Kumbuka Diamond (WCB) Malipo anayopata kwa mwezi kutokana na views YouTube, wimbo unauzwa katika App tofautitofauti, wimbo unatumika kama callerTunes katika makampuni ya simu, hapo bado hatujaangalia Vingilio vya show mbalimbali ambazo anauimba wimbo huo halafu unasema eti hata m1 haujaingiza?
Siku nyingine Ukiongea maneno hayo mbele ya wafuatiliaji na wadau wa mziki watakudharau. Mziki wa zamani tofauti na wasasa.
Ushawahi kujiuliza kwanini A.Y na mwana F.A wanaidai fidia ya tsh. BILIONI MBILI kampuni ya TIGO?
Hakumaanisha wimbo wa "zilipendwa" ndiyo umeuza chini ya 1m, amemaanisha wimbo wa "wanaume tumeumbwa mateso" ndiyo haukuuza zaidi ya 1m.

Tuwe makini tunapotaka kujibu hoja za watu.
 
mbona kionjo cha neno "nakupenda" wamekitumia wengi sana......au hakina mmiliki
 
In life we pay for what we don't know.

WCB wazungumze na Msondo wayamalize tu.
 
😀😀😛😀😀 umeni nukuu mara tatu noma kweli. Kionjo cha msondo kinazidi 20%? kama hakizidi utaelewa kwanini nimeandika hivyo
Hamna kesi hapo,mawakili wanataka kuwapiga hela hao wazee tu
 
Hapo hakuna kesi yoyote..
Hio kesi siku ya kwanza tu hakimu ataipiga chini.
Kwanza kabisa hao msondo ngoma hawana Hati miliki ya hicho kionjo..
Kama wanayo basi kesi watashinda..
 
IMG-20171109-WA0040.jpeg
IMG-20171109-WA0039.jpeg
 
wenzao waumize vichwa wao wateleze tu,wawape haki yao.
 
"Hee mwanamama,baby mwanamama",darasa nae ajiandae,ila jamaa sijui ana bahati mbaya, bele9 na darasa wameiba vionjo vya saida ,kiba nae kairudia kimaso maso ya Issa matona lkn hawajatozwa hata shilingi, ila ndio hivyo MTU chake ngojea mahakama iamue .
Watu wanaangalia kuliko na pesa huwezi kwenda kumshtaki masikini unapoteza muda sasa atakulipa nini.
Kibongo bongo kurudia vionjo ilikuwa kawaida ila sasa wanaona wcb wanapiga ela lazima watake kulipa.
Ingekuwa siyo kawaida basi yule beka aliyerudiaga vionjo vya wasanii zaidi ya kumi kwenye wimbo wake angeuawa.
Maana alirudia wimbo wa amini, ray c, marlow, kassim mganga yani wimbo mzima alikuwa kajaza vionjo toka wasanii mbalimbali
 
Back
Top Bottom