Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haah! kama namuona hapo Romariii mng'ande.Ile saxophone ndo wameuwa kabisa
Mmabo ya hati miliki yana sheria zake.wenzao waumize vichwa wao wateleze tu,wawape haki yao.
hapana musee.. wimbo wa Ajali(wanaume tumeumbwa mateso) ni wimbo wa mwisho aliotunga marehemu TX Moshi William kabla ya kufariki.. Huo wimbo ni mali ya msondo ngoma kipindi hicho mmiliki hakua TUCTA, TUCTA alishajiotoa zamani...Mmabo ya hati miliki yana sheria zake.
Huo wimbo uliogezwa ulitoka kipindi ambacho tulikua hatuna sheria ya hati miliki,sijui kama sheria yetu ya hatimiliki inazungumzia ya zamani au toka ilipotungwa,lakini msondo ngoma pia hawana haki,kwa sababu alitakiwa kulalamika ni TUCTA kwa kuwa ndio mmiliki wa bendi wakati huo JUWATA JAZZ
Msondo ngoma watatakiwa ya kuprove umiliki wa huo wimbo kwenye counter affidavit ya WCB
sheria ya hati miliki ilikua tayari?je familia ya moshi william ikiibuka nayo kudai wimbo ni wake?hapana musee.. wimbo wa Ajali(wanaume tumeumbwa mateso) ni wimbo wa mwisho aliotunga marehemu TX Moshi William kabla ya kufariki.. Huo wimbo ni mali ya msondo ngoma kipindi hicho mmiliki hakua TUCTA, TUCTA alishajiotoa zamani...
nni haki yao kisheria ndo maana hata mwana fa na ay wamedai kulipwa 2bn ifike mahali tutambue haki zetu kisheriaNjaaa hizi ni shida kionjo m300 akat haya mauzo ya wimbo og hayakufka m1 huu ungese
Unadhani angecopy mwingine basi kungekuwa na shida basi, tatizo wcb life style wanaonekana wana ela hata angekuwa mimi ningeona shida zangu zimeisha labda Mungu kajibu sala zangu ndipo pakutokea.Mtu ambaye angeenda Mahakamani akalipwa angekuwa Saida Kalori ambapo 80% ya nyimbo yake iliimbwa na Diamond, na sio Msondo ambapo kipande chao hakizidi 20%......
Ndo maana unaona wasanii hata Wakubwa huweka radha ya Wasanii wa zamani hata kipande kidogo bila shida!
Emu fikiri Joe Thomas ampeleke Diamond Mahakamani kwa kile kipande chake kwenye nyimbo ya Halleluyah! Huyo Diamond hata hiyo hela ya kumlipa Joe angekua hana!
Good enough hiyo Sheria ya kuruhusu Ku copy chini ya 20% ya wimbo wa artist mwingine ni International inatambulika Worldwide!
So Wazee wetu hawatapata kitu wakienda Mahakamani.
Wakishinda nitamtafuta alayeanzisha wimbo wa Malaika Nakupenda ili tupige hela.
Wamelipwa?????tigo walikata rufaa sababu nyimbo waliuziwa na Sony ambao ndo wana hakimiliki ya zile nyimbo kama sikosei kuna thread inazungumzia humunni haki yao kisheria ndo maana hata mwana fa na ay wamelipwa 2bn ifike mahali tutambue haki zetu kisheria
Kulikuwa na debate kuhusu mtunzi huo wimbo, sina uhakika hata Miriam Makeba mwenyewe anamjua ni nani.
hahaha ngoja niingie mtandaoni..................nianze kuangalia kesiWamelipwa?????tigo walikata rufaa sababu nyimbo waliuziwa na Sony ambao ndo wana hakimiliki ya zile nyimbo kama sikosei kuna thread inazungumzia humu
Basi kusiwe na hati milikiNjaaa hizi ni shida kionjo m300 akat haya mauzo ya wimbo og hayakufka m1 huu ungese