Msondo ngoma wanadai walipwe mil 300 na WCB

Msondo ngoma wanadai walipwe mil 300 na WCB

Wamesahau fadhila hao,kiongozi wao marehemu Gurumo alipewa Passo mpya na diamond,nadhani wangemlilia awape vyombo vipya na kuwarekodia chini ya wcb
 
wenzao waumize vichwa wao wateleze tu,wawape haki yao.
Mmabo ya hati miliki yana sheria zake.
Huo wimbo uliogezwa ulitoka kipindi ambacho tulikua hatuna sheria ya hati miliki,sijui kama sheria yetu ya hatimiliki inazungumzia ya zamani au toka ilipotungwa,lakini msondo ngoma pia hawana haki,kwa sababu alitakiwa kulalamika ni TUCTA kwa kuwa ndio mmiliki wa bendi wakati huo JUWATA JAZZ
Msondo ngoma watatakiwa ya kuprove umiliki wa huo wimbo kwenye counter affidavit ya WCB
 
hapana musee.. wimbo wa Ajali(wanaume tumeumbwa mateso) ni wimbo wa mwisho aliotunga marehemu TX Moshi William kabla ya kufariki.. Huo wimbo ni mali ya msondo ngoma kipindi hicho mmiliki hakua TUCTA, TUCTA alishajiotoa zamani...
 
sheria ya hati miliki ilikua tayari?je familia ya moshi william ikiibuka nayo kudai wimbo ni wake?
Kuna sehemu nilisoma,TX alimpa baraka zote mwanae Hassan,kudurufu au kurudia nyimbo zake zote,je WCB wakisema waliuziwa na Hassan?
 
Mtu ambaye angeenda Mahakamani akalipwa angekuwa Saida Kalori ambapo 80% ya nyimbo yake iliimbwa na Diamond, na sio Msondo ambapo kipande chao hakizidi 20%......

Ndo maana unaona wasanii hata Wakubwa huweka radha ya Wasanii wa zamani hata kipande kidogo bila shida!

Emu fikiri Joe Thomas ampeleke Diamond Mahakamani kwa kile kipande chake kwenye nyimbo ya Halleluyah! Huyo Diamond hata hiyo hela ya kumlipa Joe angekua hana!

Good enough hiyo Sheria ya kuruhusu Ku copy chini ya 20% ya wimbo wa artist mwingine ni International inatambulika Worldwide!

So Wazee wetu hawatapata kitu wakienda Mahakamani.
 
Unadhani angecopy mwingine basi kungekuwa na shida basi, tatizo wcb life style wanaonekana wana ela hata angekuwa mimi ningeona shida zangu zimeisha labda Mungu kajibu sala zangu ndipo pakutokea.
All in all two wrongs don't makeup a right kama wameamua washitaki basi ni haki yao utetezi wa mbona na flani alicopy haujawahi kufanya kazi
 
Wakishinda nitamtafuta alayeanzisha wimbo wa Malaika Nakupenda ili tupige hela.
 
Sasa mlikua wapi mda wote mnaibuka leo hadi zilipendwa yenyewe ishakua zilipendwa
 
nni haki yao kisheria ndo maana hata mwana fa na ay wamelipwa 2bn ifike mahali tutambue haki zetu kisheria
Wamelipwa?????tigo walikata rufaa sababu nyimbo waliuziwa na Sony ambao ndo wana hakimiliki ya zile nyimbo kama sikosei kuna thread inazungumzia humu
 
Njaa hizi ni tabu kweli kweli..

Lakin ni haki yao, wapewe chao,
Mambo kama haya ndio yanafanya wasanii waendelee kuwa na njaa kila siku, hakuna cha kusema sijui wamefulia sijui nini, ni unyonyaji ndio umewafanya kuwa hapa wasingenyonywa na kuibiwa tangu awali kwa muziki waliogonga miaka hiyo hasa miaka ya 2000 chini ya fundi marehemu, wangekuwa mbali mnoo.. so wapewe chao wafaidi japo jasho la wenzao.
 
Back
Top Bottom