Acha utoto, uwe tajiri uwe masikini kuchapiwa kuko pale pale.Wakuu
Hapa nina msongo mkubwa wa mawazo,kichwa kinawaka moto,nipo dukani ila naona ni bure tu nifunge duka niende nyumbani
Sijielewi kabisa.
Wakuu msaada wenu jamani nishauri chochote nipate uponyaji
Ila wale kataa ndoa wanahoja,nimepigwa tukio hapa hata sielewi.
Kuna siku nitaleta mkasa heavy sana kuhusu hii kauli yako mkuu.Acha utoto, uwe tajiri uwe masikini kuchapiwa kuko pale pale.
Ujiue usijiue ataigawa tuu. Ukijiua tukishakula pilau tunakusahau.
Mtoto wa kiume kaza, nunua bia na kitimoto nusu kula kalalendiyo mkuu.
Umegongewa ? Umetapeliwa?Wakuu
Hapa nina msongo mkubwa wa mawazo,kichwa kinawaka moto,nipo dukani ila naona ni bure tu nifunge duka niende nyumbani
Sijielewi kabisa.
Wakuu msaada wenu jamani nishauri chochote nipate uponyaji
Ila wale kataa ndoa wanahoja,nimepigwa tukio hapa hata sielewi.
Acha ajiue, Mengi Rip alichapiwa na dr wake. Engonga alichapa baraza zima la mawaziri.Kuna siku nitaleta mkasa heavy sana kuhusu hii kauli yako mkuu.
Mwanamke akiamua kugawa huwa hajali status yake wala yako.
choma hata mbuzishida stumii vyote hivyo mkuu.
Ameliwa?Wakuu
Hapa nina msongo mkubwa wa mawazo,kichwa kinawaka moto,nipo dukani ila naona ni bure tu nifunge duka niende nyumbani
Sijielewi kabisa.
Wakuu msaada wenu jamani nishauri chochote nipate uponyaji
Ila wale kataa ndoa wanahoja,nimepigwa tukio hapa hata sielewi.
Aya mwombe Mungu na umsifu yeye ni njia ya haki na kweli,shida stumii vyote hivyo mkuu.
Siku hizi K ni nje nje sanaAcha ajiue, Mengi Rip alichapiwa na dr wake. Engonga alichapa baraza zima la mawaziri.
Hakuna anayekataa akitongozwa, wanaona sifa.
Na wewe wamemkula?Hauko peke yako mkuu π
Pole mkuuWakuu
Hapa nina msongo mkubwa wa mawazo,kichwa kinawaka moto,nipo dukani ila naona ni bure tu nifunge duka niende nyumbani
Sijielewi kabisa.
Wakuu msaada wenu jamani nishauri chochote nipate uponyaji
Ila wale kataa ndoa wanahoja,nimepigwa tukio hapa hata sielewi.
πππNa wewe wamemkula?