Msongo wa mawazo nilionao unaweza kunipeleka kubaya, msaada wenu wananzengo

Msongo wa mawazo nilionao unaweza kunipeleka kubaya, msaada wenu wananzengo

Sijui wataelewa lini na kukubaliana na hali. Kwamba kuchapiwa hakuzuiliki na daima wakumbuke kwamba "The pussy is NEVER trully yours. It is just your turn". Eti unapata msongo wa mawazo kisa umechapiwa kha! What? How? When? Which? Who? With Whom?

Mbona hata mzabzab analijua hili kwamba hakuna mbususu ya peke yako hapa duniani?

View attachment 3301798
View attachment 3301818
Kabisa hawa kenge wanasambaza utelezi balaaaaa.....
 
Wakuu

Hapa nina msongo mkubwa wa mawazo,kichwa kinawaka moto,nipo dukani ila naona ni bure tu nifunge duka niende nyumbani

Sijielewi kabisa. Wakuu msaada wenu jamani nishauri chochote nipate uponyaji

Ila wale kataa ndoa wanahoja,nimepigwa tukio hapa hata sielewi.
Piga punyere msongo utaisha
 
Una anxiety na depression duh!

1. Usijitenge na watu.
2. Fanya mazoezi.
3. Kula vizuri, kula kwa afya.
4. Kama ni wa kiume tafuta mbususu uchakate.
5. Fanya meditation.
6. Sali kwa imani yako.
7. Pata ushauri kwa mtu unaemwamini.
8. Tatua matatizo yanayokukabili. Madeni lipa, umeachwa move on, hujafaulu interview jipange upya n.k
9. Badili fikra zako think positive.
10. Depression ikizidi muone daktari.
 
Screenshot_20250630-092116.jpg


Ni wasukuma tu ndo wanataka kwenda na roho yako? 😁
Ukishindwa kuishi na msukuma we ndo una shida......
 
Pambana tu inshallah utakuwa sawa ,suala la muda tu hilo.
 
Duuh !! Kweli mgonjwa ni mgonjwa. Ila namna ya kwanza ya kupambana na depression ni kuachilia. Fungua Moyo Mkuu
 
ili umrahisishie daktari kwa vipimo, huwa inabidi umwambie unahis dariri gan!
bila hvo atashindwa aanzie wap au aanze kubabia unaumwa nin..

anyway..
  • yote maisha, fanya mazoez, kula vizur, jipende. na fanya meditation sehem tulvu
  • pia jichanganye na watu, usipende kukaa peke yako.
Samehe, jisamehe achilia vinyongo moyon na shukuru kwa yote.
 
Mahusiano mwanamke kaondoka na kila kitu changu na kafanya pia nifukuzwe kazi
 
Back
Top Bottom