Msongo wa mawazo nilionao unaweza kunipeleka kubaya, msaada wenu wananzengo

Msongo wa mawazo nilionao unaweza kunipeleka kubaya, msaada wenu wananzengo

Mahusiano mwanamke kaondoka na kila kitu changu na kafanya pia nifukuzwe kazi
pole sana mkuu, msamehe tu na usimfatilie ile ni sumu tiari kwako.
- mwanaume Ukianguka, nyanyuka na angalia chanzo cha kukudondosha(itatakiwa uwe makin tena, make chanzo umekijua)
Kung'uta vumbi na anza safari upya.
 
Safi kabisaaa!!! 😹
Katuwakilisha vizuri sana wifi..!!
 
Wakuu

Hapa nina msongo mkubwa wa mawazo,kichwa kinawaka moto,nipo dukani ila naona ni bure tu nifunge duka niende nyumbani

Sijielewi kabisa. Wakuu msaada wenu jamani nishauri chochote nipate uponyaji

Ila wale kataa ndoa wanahoja,nimepigwa tukio hapa hata sielewi.
1751273918468.jpeg
 
Aha ha ha pole sana, Tafuta mchepuko kichwa kitulie
 
Back
Top Bottom