CotterPin
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,395
- 5,011
Ndio maana nikasema mwanamke akiamua kugawa haangaliii status. Imagine mmoja alianzisha mahusiano nje ili tu apate mtu wa kufokoa mtalo maana mme wake htaki huo ujinga. Na ni mtumishi mkubwa hapo Ardhi na mme ni lecturerAcha ajiue, Mengi Rip alichapiwa na dr wake. Engonga alichapa baraza zima la mawaziri.
Hakuna anayekataa akitongozwa, wanaona sifa.