Ndio maana nikasema mwanamke akiamua kugawa haangaliii status. Imagine mmoja alianzisha mahusiano nje ili tu apate mtu wa kufokoa mtalo maana mme wake htaki huo ujinga. Na ni mtumishi mkubwa hapo Ardhi na mme ni lecturerAcha ajiue, Mengi Rip alichapiwa na dr wake. Engonga alichapa baraza zima la mawaziri.
Hakuna anayekataa akitongozwa, wanaona sifa.
Hapana.... Namaanisha kati ya watanzania milioni 60 wapo wanaopitia hali kama yakwakeNa wewe wamemkula?
Tuliza wenge mkuu.Wakuu
Hapa nina msongo mkubwa wa mawazo,kichwa kinawaka moto,nipo dukani ila naona ni bure tu nifunge duka niende nyumbani
Sijielewi kabisa.
Wakuu msaada wenu jamani nishauri chochote nipate uponyaji
Ila wale kataa ndoa wanahoja,nimepigwa tukio hapa hata sielewi.
Hawa viumbe hawachelewi kuvua chupi kwa hiariππππ
Hapo dukani unauza na sumu za panya mkuu?Wakuu
Hapa nina msongo mkubwa wa mawazo,kichwa kinawaka moto,nipo dukani ila naona ni bure tu nifunge duka niende nyumbani
Sijielewi kabisa.
Wakuu msaada wenu jamani nishauri chochote nipate uponyaji
Ila wale kataa ndoa wanahoja,nimepigwa tukio hapa hata sielewi.
Umbwa weweπ π πHapo dukani unauza na sumu za panya mkuu?
Sijui wataelewa lini na kukubaliana na hali. Kwamba kuchapiwa hakuzuiliki na daima wakumbuke kwamba "The pussy is NEVER trully yours. It is just your turn". Eti unapata msongo wa mawazo kisa umechapiwa kha! What? How? When? Which? Who? With Whom?Acha utoto, uwe tajiri uwe masikini kuchapiwa kuko pale pale.
Ujiue usijiue ataigawa tuu. Ukijiua tukishakula pilau tunakusahau.
Aseehndiyo mkuu.
Duh!Ndio maana nikasema mwanamke akiamua kugawa haangaliii status. Imagine mmoja alianzisha mahusiano nje ili tu apate mtu wa kufokoa mtalo maana mme wake htaki huo ujinga. Na ni mtumishi mkubwa hapo Ardhi na mme ni lecturer
Kweli mapenzi hatari sanAchana naye. Njoo tuishi maisha ya utawa. Maisha ni mafupi sana, miaka 70 ni sawa na miezi 841