Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
pole sana mkuu, msamehe tu na usimfatilie ile ni sumu tiari kwako.Mahusiano mwanamke kaondoka na kila kitu changu na kafanya pia nifukuzwe kazi
Dipreee msaidie mwenzio namna unaishi nazo freshi tu🤣
tuliaza akili mzee lasivyo utadataMahusiano mwanamke kaondoka na kila kitu changu na kafanya pia nifukuzwe kazi
Ni kuhakikisha anakula kwa wakati tuDipreee msaidie mwenzio namna unaishi nazo freshi tu🤣
Wakuu
Hapa nina msongo mkubwa wa mawazo,kichwa kinawaka moto,nipo dukani ila naona ni bure tu nifunge duka niende nyumbani
Sijielewi kabisa. Wakuu msaada wenu jamani nishauri chochote nipate uponyaji
Ila wale kataa ndoa wanahoja,nimepigwa tukio hapa hata sielewi.
hahahahaha no love, no stressMapenzi yafutwe
No woman no cries 😂hahahahaha no love, no stress
Aha ha ha pole sana, Tafuta mchepuko kichwa kitulieWakuu
Hapa nina msongo mkubwa wa mawazo,kichwa kinawaka moto,nipo dukani ila naona ni bure tu nifunge duka niende nyumbani
Sijielewi kabisa. Wakuu msaada wenu jamani nishauri chochote nipate uponyaji
Ila wale kataa ndoa wanahoja,nimepigwa tukio hapa hata sielewi.
mnatuonea sana ninyi viumbe.No woman no cries
Shida imeanzia hapashida stumii vyote hivyo mkuu.