TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Hq hahaha! Ile ilikuwa halali waondoke nayo, codes gani zile mwanzo mwisho codes hazimezeki!!!Moderator wameshachezanayo..š
Hq hahaha! Ile ilikuwa halali waondoke nayo, codes gani zile mwanzo mwisho codes hazimezeki!!!Moderator wameshachezanayo..š
Iyo PJLK ni jina zaidi ya moja kuyajua ndio kipengele unaweza toa tafsili tofauti ya majina .Halafu eti ile 'op' iliyositishwa, wameruhusu iendelee? JAL 23 bado kwisha.
Huyu PJLK ni nani Mkuu? Maana kile kivuri hakitarudi mpaka yatimie.
Kaka, chini ya jua hakuna mbabe asiye na mbabe wa kumzidi.Mtamuweza huyo born town na genge lake?
Kwa TANZANIA ANATEULIWAWakuu,
JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake.
Nilijua hapa anao ujumbe fulani hivyo kumwonesha kwamba niko both backdated na updated nikamwambia, "that happened only after the tail ruptured", then aka-smile na kusema, "ule mstari wa ribiti uliosahauliwa during overhaul preceded the rupture", nikamwambia you are right.
Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.
Mara nikaamka, kumbe ilikuwa ni ndoto. Tuendelee kusubiri.
'theState'
Hii story iliishaisha siku nyingi sana ,imebaki porojo tu@yoga msitu umemshinda katupa shoka. Hahaha kamuacha nduguye Yoda aendelee kutafuta 'maokoto' viunga hivi.
King maker"Azizi, 49, is Tanzaniaās first billionaire with a fortune estimated at $1 billion, derived from stakes in contract mining firm Caspian Mining, a Port in Dar es Salaam, extensive real estate in Tanzania and the Middle East and, of course, cash coming from the sale of his stake in Vodacom Tanzania,." (FORBES, MAY, 2014)View attachment 2663381
Mwizi.King maker
Kwamba!!?"Azizi, 49, is Tanzaniaās first billionaire with a fortune estimated at $1 billion, derived from stakes in contract mining firm Caspian Mining, a Port in Dar es Salaam, extensive real estate in Tanzania and the Middle East and, of course, cash coming from the sale of his stake in Vodacom Tanzania,." (FORBES, MAY, 2014)View attachment 2663381
Mkuu umeetafakari sentences mbili za mwisho za bandiko lako hili? Kiufupi dadavuasote
MkamateMwizi.
Jamaa anafikiri kama jal 1 is done then JAL 2 eti ni huyo muajemi eti!Mkuu umeetafakari sentences mbili za mwisho za bandiko lako hili? Kiufupi dadavua
Amerudi kwa hasira, he desires to conquer all most everything.King maker
Maembe aliteleza kidogo, mafua yamemchukuwa.Kwamba!!?
Inna lillahi wainaillaihi rajiuuun!
Hakika sisi ni wenye kurejea!!!!?
'Usiache dozi hata siku moja', haya ni maneno ya daktari bingwa wa magonjwa ya ...Wakuu,
JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake.
Nilijua hapa anao ujumbe fulani hivyo kumwonesha kwamba niko both backdated na updated nikamwambia, "that happened only after the tail ruptured", then aka-smile na kusema, "ule mstari wa ribiti uliosahauliwa during overhaul preceded the rupture", nikamwambia you are right.
Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.
Mara nikaamka, kumbe ilikuwa ni ndoto. Tuendelee kusubiri.
'theState'
Huyo tibazonkiza sio!!?Maembe aliteleza kidogo, mafua yamemchukuwa.
Matukio ya kisiasa yameamua kubackdate 2010-2015.
Namuona mtu kutoka mipakani huko, Mr. ICU anaingia mahali patakatifu.
"Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage."Huyo tibazonkiza sio!!?
Ndio fdr awe!!?
Fdr akaa 12 SASA huyo umri haimtupi mkono!!?labda wa chini yake baada ya yeye kuingia patakatifur pa patakatifu pa utakaso!!