Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

Wakuu,

JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake.

Nilijua hapa anao ujumbe fulani hivyo kumwonesha kwamba niko both backdated na updated nikamwambia, "that happened only after the tail ruptured", then aka-smile na kusema, "ule mstari wa ribiti uliosahauliwa during overhaul preceded the rupture", nikamwambia you are right.

Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.

Mara nikaamka, kumbe ilikuwa ni ndoto. Tuendelee kusubiri.

'theState'
Jal 123..
 
MAY ni mwezi wenye herufi 3 kama JAL ilivyo na herufi 3.
12 tarehe ya mwezi husika.
23 ni tarakimu 2 za mwisho katika mwaka 2023.
12/5/2023 iliwakiishwa na kodi JAL 123..

Kama ndivyo, mbobezi ndiye mstaafu aliyestaafishwa?
Ramli tu hizo 🤣🤣
 
Inawezekana lakini Ila kwanamba J=10 A=1 na L=12 ukijumlisha zote unapata 23 sawa na mwaka 2023 sawa na jal alafu jumlisha 123 Yani 1+2+3 unapata 6 kwaiyo utabiri inaweza kuwa hata mwezi wa 6 tarehe 23.2023
 
If not a natural death, what drove one to kill a person who was more than 10 yrs in retirement!
"Maliza miaka YAKO mitano kaa pembeni nchi imekushinda tutamchagua mwingine" Pengo alitumwa kwa kipipa na Mzee mchonga!

Umepata sababu!!?

Unafikiri mchonga asingeenda msoga angeupata!?mamvi angekua hata PM tu!!?
 
Inawezekana lakini Ila kwanamba J=10 A=1 na L=12 ukijumlisha zote unapata 23 sawa na mwaka 2023 sawa na jal alafu jumlisha 123 Yani 1+2+3 unapata 6 kwaiyo utabiri inaweza kuwa hata mwezi wa 6 tarehe 23.2023
Kwamba 23/6/2023 ndiyo mstaafu astafishwe!!?
 
Back
Top Bottom