kilama
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 2,824
- 2,199
Huo ndio upumbavu waoModerator wameshachezanayo..[emoji16]
Huo ndio upumbavu waoModerator wameshachezanayo..[emoji16]
Uliiona na weweModerator wameshachezanayo..😁
Sasa Uhuru wa Jamii forum upo wapi? Upumbavu mtupuModerator wameshachezanayo..[emoji16]
Hapa wapiAmeshusha nondo moja hapa
Inasemaje?Ameshusha nondo moja hapa
Usidhani uko huru ndugu yangu.Sasa Uhuru wa Jamii forum upo wapi? Upumbavu mtupu
Mimi ndo chawaUliiona na wewe
Ilikuwa inazungumzia nini Mkuu... Maana wengine ndio kunakucha.Jamaa kaja na nondo nyingine huko
Ameongelea usalitiInasemaje?
Hii pekee ndio Tiba kwa maslahi ya mapana ya nchi. vp Dalali wa kimataifa Ngosha Gabachori na kati ya Mpunga mwingi?Wakuu,
JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake.
Nilijua hapa anao ujumbe fulani hivyo kumwonesha kwamba niko both backdated na updated nikamwambia, "that happened only after the tail ruptured", then aka-smile na kusema, "ule mstari wa ribiti uliosahauliwa during overhaul preceded the rupture", nikamwambia you are right.
Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.
Mara nikaamka, kumbe ilikuwa ni ndoto. Tuendelee kusubiri.
'theState'
Nadhani Maji yamekorogeka si salama kuvuka kwa mtumbwi wa kasia.JAL 123 FLIGHT Bonge la code!!labda kabatini no connection!!ile ribiti iliyosahaulika wakati wa overhaul!!Tumia akili!!
Hesabu ya tarehe 'umetembea nayo kichwani' umekopa wapi?Inawezekana lakini Ila kwanamba J=10 A=1 na L=12 ukijumlisha zote unapata 23 sawa na mwaka 2023 sawa na jal alafu jumlisha 123 Yani 1+2+3 unapata 6 kwaiyo utabiri inaweza kuwa hata mwezi wa 6 tarehe 23.2023
Maelekezo kutoka juu, 'op' ya mstaafu naona kama imesitishwa?Chapa ya ndege HIYO iliyopata ajali JAL 123 kutokana na repair ilioacha nyufa KWENYE ndege mkiani ufa ukawa mkubwa na kusababisha ajali kubwa Sana!!!The state walipofanya yao repair pale kitalani mabaki ya nyufa hizo yatasababisha nchi itapata ajali kubwa na kuharibika kabisa Sasa 123 Moja,mbili,tatu! Ndege itue chini na kupata rubani mwingine isije ua watu !!!kuna watu watatu watashushwa chini kabla ya rubani mpya hajapewa mamlaka ya kuongoza ndege hii!!watu hao ni 1.Mstaafu ambaye hataki kustaafu na anatawala akiwa nyumbani 2.Lady gaga.3.msaidizi wa Lady Gaga ambaye nae anacheza mchezo wa mstaafu!!!wote chini!!!Men down I say men down!!!
Namba moja wanasema tayari 2 na 3 next hata mm sijaelewaMaelekezo kutoka juu, 'op' ya mstaafu naona kama imesitishwa?
Halafu eti ile 'op' iliyositishwa, wameruhusu iendelee? JAL 23 bado kwisha.Namba moja wanasema tayari 2 na 3 next hata mm sijaelewa
Unanitisha ujue!!! Mbona Mwana"***"lis bado inadunda?Usidhani uko huru ndugu yangu.
Mmiliki wa JF mwenyewe ni walewale vipepu na JF ipo kwa maslahi mapana ya kitengwa.
Kama huamini anzisha JF yako uone kama itaSimbadumu.