Umemaliza kila kitu.Tanzania hakunaga kustaafu
Ova

Happy birthday yake!Kunani merekani!!!
Nchi haiwezi kupona unless MFUMO wote kuhusisha na hao midipu steti ibadilishweTanzania ipate uponyaji.
Una maanisha Nini mkuu!?Kamba hukatikia pembamba..
😂😂😂Ubao bado unasoma bila bila dakika ya 80 mstaafu ametawala mchezo ndugu waskilizaji[emoji16]
Gari imepata pancha? Mbona hatufiki tunakokwenda?
Tower: Dispatch all units at the scene for rescue...I repeat, dispatch all units.May Day May Day May Day
We lost control of the plane.......
Tower: Do you copy........
Tower: This is.... We just lost contact with flight .....
Another dayWakuu,
JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake.
Nilijua hapa anao ujumbe fulani hivyo kumwonesha kwamba niko both backdated na updated nikamwambia, "that happened only after the tail ruptured", then aka-smile na kusema, "ule mstari wa ribiti uliosahauliwa during overhaul preceded the rupture", nikamwambia you are right.
Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.
Mara nikaamka, kumbe ilikuwa ni ndoto. Tuendelee kusubiri.
'theState'
Kwanini nyuzi hii imeibuliwa tena leo kuna nini?Wakuu,

Kwambae wakati wa mstaafu kustafishwa ndio huu!!?Mhmhmh something must be serious.
Wakuu,
JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake.
Nilijua hapa anao ujumbe fulani hivyo kumwonesha kwamba niko both backdated na updated nikamwambia, "that happened only after the tail ruptured", then aka-smile na kusema, "ule mstari wa ribiti uliosahauliwa during overhaul preceded the rupture", nikamwambia you are right.
Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.
Mara nikaamka, kumbe ilikuwa ni ndoto. Tuendelee kusubiri.
'theState
Tumia akili naamini wewe ndiye BT unayemiliki hii account, kwenye hii post ulimkusudia Philip Magula.Wakuu,
JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake.
Nilijua hapa anao ujumbe fulani hivyo kumwonesha kwamba niko both backdated na updated nikamwambia, "that happened only after the tail ruptured", then aka-smile na kusema, "ule mstari wa ribiti uliosahauliwa during overhaul preceded the rupture", nikamwambia you are right.
Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.
Mara nikaamka, kumbe ilikuwa ni ndoto. Tuendelee kusubiri.
'theState'
Kwambae wakati wa mstaafu kustafishwa ndio huu!!?
Mbona anadunda!!?
Hapana we jamaa!!Tumia akili naamini wewe ndiye BT unayemiliki hii account, kwenye hii post ulimkusudia Philip Magula.