NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 10,004
- 21,312
Ndio nini!?
Ndio nini!?
Kwani kuna jambo gani?
Hebu funguka Mkuu.
Like zis commentChapa ya ndege HIYO iliyopata ajali JAL 123 kutokana na repair ilioacha nyufa KWENYE ndege mkiani ufa ukawa mkubwa na kusababisha ajali kubwa Sana!!!The state walipofanya yao repair pale kitalani mabaki ya nyufa hizo yatasababisha nchi itapata ajali kubwa na kuharibika kabisa Sasa 123 Moja,mbili,tatu! Ndege itue chini na kupata rubani mwingine isije ua watu !!!kuna watu watatu watashushwa chini kabla ya rubani mpya hajapewa mamlaka ya kuongoza ndege hii!!watu hao ni 1.Mstaafu ambaye hataki kustaafu na anatawala akiwa nyumbani 2.Lady gaga.3.msaidizi wa Lady Gaga ambaye nae anacheza mchezo wa mstaafu!!!wote chini!!!Men down I say men down!!!
Wanalipiwa kila kitu bure watoto wao wako wanaishi Marekani, canada, Uk na SA hawana habariHao ni vilaza na mafisadi kama baba zao CCM bei ya mafuta kwao sio muhimu wao wanapenda sana umbeya tu
Kiukweli umuhimu wao kwenye taifa unanitatiza sana. Kuna wakati na hisi wao ndio tatizo.Hao ni vilaza na mafisadi kama baba zao CCM bei ya mafuta kwao sio muhimu wao wanapenda sana umbeya tu
nenda kwenye jina lake click alaf utaona Post zake ckick tena utasoma zote alizotumamkuu unaeza nipatia nyuzi zake za nyuma nimuelewe vzr
Kama deep state na usalama, basi hiyo deep state ni TAKATAKA.Deep state wa bongo ni wapuuzi tu kwanza wapo chini ya influence ya CCM na wapo sana kulinda maslahi ya CCM mngekuwa mnajitambua mwendazake asingeweza kufanya vitu vya ajabu namna Ili
Hii paragraph ya mwisho ni nzito mno. Natamani kila kiongozi aishike hii.Died a natural death!!?..did mchonga die a natural death?? did lupaso die a natural death?!..man up buddy!!
For him it was a decision from Gaberon which led to his demise!..he was too busy building the country than the Nation..
On his way to the burrial of Mr Lupaso he cried all the way hadi kesho yake akachelewa misa ya mazishi..unajua kwa Nini alilia hivyo?!...
Alijua what next..maana alishaonywa Mara nne kuwa the fate ya maamuzi unayofanya itakugarim...fanya hivi yeye anafanya vile ..na alipofika na kuzid ile threshold basi hakukuwa na namna Zaid ya kuexecute...
Ukipewa heshma ya kuongoza wenzako hata nyumban kwako tumia busara na kiasi..vinginevyo Kama si watoto wako Basi mkeo atakumaliza...
sahihiMstaafu ataweza ku remote ccm nzima ikiwa hakuna tatizo mahali.
Mstaafu anaweza tu kwa sababu ya mfumo mbaya wa katiba. Yaani akishamfikia mfalme na wakakubalina simu itapigwa na waimba ambia wataitwa na watammwagia sifa na utukufu.
Huu utamaduni mpya wa mapambio kwa kila asemalo mfame kwamba anaimwaga mwingi utasahihishwa na katiba sahihi tu.
Afadhali hapaHuelewi nini!!!okh!!JAL 123 ni kizuizi au mtu kuwekwa kapuni asi access ya nje na kuwa na influence!!ribiti au rupture iliyosahaulika wakati wa overhaul ni mstaafu ambae hataki kustaafu Hadi Sasa yupo active na anainfluence kubwa ya uongozi wa lady Gaga! LAZIMA astaafishwe RASMI ILI waendelee na misheni ile ya kumuweka FDR aliyezungumzwa na mleta mada KWENYE uzi Wake pale January mwaka huu!!!ujumbe kutoka KWA The state wenye nchi yao!!!!kama hujaelewa uliza tena;;!!!