Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

After NBC sold Mchonga wanted to reiterate the second term of Lupaso and he told him simply one term is enough for you!!Then what happened!a wine with a venom for leukaemia in his 75 birthday was a good gift for him!!!ON THURSDAY 14TH OF OCTOBER 1999 AT 1:00PM I HEARD A NATIONAL ANTHEM!!MAN DOWN!!!And Mr Lupaso was the masterminder of Mr stones Regime hence it was better to eliminate Mr Lupaso before rolling the stone to its hole!!
Sijibu kwa kiingereza! Alaumiwe Mwl. Kahangwa kwa kushindwa kunipika vizuri kwenye grammar...turudi kwenye mada, assume hizi speculations zina ukweli 89% unadhani huyu Zumaridi atajaribu kuwatetea wanyonge na nchi yao au atalinda nafsi yake kwa kutogusa maslahi ya hawa vampire?
 
Chapa ya ndege HIYO iliyopata ajali JAL 123 kutokana na repair ilioacha nyufa KWENYE ndege mkiani ufa ukawa mkubwa na kusababisha ajali kubwa Sana!!!The state walipofanya yao repair pale kitalani mabaki ya nyufa hizo yatasababisha nchi itapata ajali kubwa na kuharibika kabisa Sasa 123 Moja,mbili,tatu! Ndege itue chini na kupata rubani mwingine isije ua watu !!!kuna watu watatu watashushwa chini kabla ya rubani mpya hajapewa mamlaka ya kuongoza ndege hii!!watu hao ni 1.Mstaafu ambaye hataki kustaafu na anatawala akiwa nyumbani 2.Lady gaga.3.msaidizi wa Lady Gaga ambaye nae anacheza mchezo wa mstaafu!!!wote chini!!!Men down I say men down!!!
It will never happen
 
Sijibu kwa kiingereza! Alaumiwe Mwl. Kahangwa kwa kushindwa kunipika vizuri kwenye grammar...turudi kwenye mada, assume hizi speculations zina ukweli 89% unadhani huyu Zumaridi atajaribu kuwatetea wanyonge na nchi yao au atalinda nafsi yake kwa kutogusa maslahi ya hawa vampire?
Kutokana na lugha za codes za hapa jamvini kutoka KWA VYANZO vya kuaminika hapa jukwaani kama Magamba matatu,Tumia akili na wengineo inaonekana zumaridi hana MUDA mrefu hapo kitalani tena hivi karibuni anaweza chukua mwingine kijiti!!KWA hiyo MUDA wake hautoshi aidha KWA kutetea wanyonge au kutetea mafisadi!!
 
After NBC sold Mchonga wanted to reiterate the second term of Lupaso and he told him simply one term is enough for you!!Then what happened!a wine with a venom for leukaemia in his 75 birthday was a good gift for him!!!ON THURSDAY 14TH OF OCTOBER 1999 AT 1:00PM I HEARD A NATIONAL ANTHEM!!MAN DOWN!!!And Mr Lupaso was the masterminder of Mr stones Regime hence it was better to eliminate Mr Lupaso before rolling the stone to its hole!!
JF wajuaji wengi sana, wajuaji for nothing. Eti na wewe upo JF!![emoji16]
 
Died a natural death!!?..did mchonga die a natural death?? did lupaso die a natural death?!..man up buddy!!
For him it was a decision from Gaberon which led to his demise!..he was too busy building the country than the Nation..
On his way to the burrial of Mr Lupaso he cried all the way hadi kesho yake akachelewa misa ya mazishi..unajua kwa Nini alilia hivyo?!...
Alijua what next..maana alishaonywa Mara nne kuwa the fate ya maamuzi unayofanya itakugarim...fanya hivi yeye anafanya vile ..na alipofika na kuzid ile threshold basi hakukuwa na namna Zaid ya kuexecute...
Ukipewa heshma ya kuongoza wenzako hata nyumban kwako tumia busara na kiasi..vinginevyo Kama si watoto wako Basi mkeo atakumaliza...
Una post chache jukwaani.
 
ujumbe nimeshindwa kuutafsiri labda sababu ya ushamba wangu !
 
Kanda ya ziwa imebaki na wenye nguvu wawili TU

1. Gen. Venance Mabeyo
2. Simon Sirro
Wote wawili huu mwaka wao wa mwisho.

So Kanda ya ziwa will be no longer.

Kwa kutumia taasisi zao hizo jiwe alivuruga nchi, wote nimashahidi wa kinachoitwa bunge kumbe ni kikao Cha CCM.

Hasa polisi walikuwa ni wasimamizi was kila kitu.

Nchi imeponywa na ni mpango wa mungu.
 
Ndio ndio wote ni watoto kijasusi kwa old CEO!Lazima waingize mtu kinzani wa old CEO tena arabic by faith !!I guess can be a man from island not in our side!!!!Vuai a good choice for me!!!I don't know the state!!!
Hapa mnavyotuchanganya mnajiona wajanja sana wakuu, ila ipo siku na sisi tutajua tu.
 
Back
Top Bottom