Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

Nina Baba Mdogo yeye alistaafu Serikalini akiwa na miaka 60 mwaka juzi ila kuna Baba Mkubwa bado yupo Serikalini anafanyakazi mpaka sasa!
 
Magamba matatu anasema ajaye ni arabic by faith na sio mrumi kama msaidizi wa lady gaga!!automatic Msaidizi hatoapishwa kuwa ndiye!!lazima ataondolewa ateuliwe mwingine then lady gaga astep down na kumwachia! wakati mstaafu kesha staafishwa!!! ndivyo nionavyo!!
Kheeeeeh makubwa haya tena lol. Khaaaaah
 
Died a natural death!!?..did mchonga die a natural death?? did lupaso die a natural death?!..man up buddy!!
For him it was a decision from Gaberon which led to his demise!..he was too busy building the country than the Nation..
On his way to the burrial of Mr Lupaso he cried all the way hadi kesho yake akachelewa misa ya mazishi..unajua kwa Nini alilia hivyo?!...
Alijua what next..maana alishaonywa Mara nne kuwa the fate ya maamuzi unayofanya itakugarim...fanya hivi yeye anafanya vile ..na alipofika na kuzid ile threshold basi hakukuwa na namna Zaid ya kuexecute...
Ukipewa heshma ya kuongoza wenzako hata nyumban kwako tumia busara na kiasi..vinginevyo Kama si watoto wako Basi mkeo atakumaliza...
Duuuh sio kwa mambo haya mweeeeeeh.
 
Nina Baba Mdogo yeye alistaafu Serikalini akiwa na miaka 60 mwaka juzi ila kuna Baba Mkubwa bado yupo Serikalini anafanyakazi mpaka sasa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie watu wa DIPU SITETI vipi mbona mmezubaa sana mafuta ya boda huku kijiji elfu ine na mia tano kwenye kachupa ka lita kamoja ka maji ya kunywa. Hamna ndugu zenu wanaoishi kijiji? mliwahamishia ndugu zenu wote huko mnaishi nao? Ahhhhh!! Acheni hizo bwana.
 
"Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa"

1. Jamaa alishastaafu lakini bado anaendelea kufanya kazi japo watu wanajua alishastaafu.

2. Jamaa aliyestaafu anadedishwa.
 
Nyie watu wa DIPU SITETI vipi mbona mmezubaa sana mafuta ya boda huku kijiji elfu ine na mia tano kwenye kachupa ka lita kamoja ka maji ya kunywa. Hamna ndugu zenu wanaoishi kijiji? mliwahamishia ndugu zenu wote huko mnaishi nao? Ahhhhh!! Acheni hizo bwana.
Hao ni vilaza na mafisadi kama baba zao CCM bei ya mafuta kwao sio muhimu wao wanapenda sana umbeya tu
 
Back
Top Bottom