Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

Jamaa ana "kiherehere" yule watu siku hizi hawamchekei tena
 
Deep state wa bongo ni wapuuzi tu kwanza wapo chini ya influence ya CCM na wapo sana kulinda maslahi ya CCM mngekuwa mnajitambua mwendazake asingeweza kufanya vitu vya ajabu namna Ili
Usiwatukane Mkuu!!!usiwafanye wajisikie vibaya!ni kweli walikosea kama BINADAMU!hasa 2010 Hadi 2015 ambapo Wangeandaa CHAMA mbadala ili 2015 kishike Dola hata kama ni CHAMA kidogo kama NCCR !mwendazake asinge teka teka ua,ua kama vile!!tungebalansi hisia za watz!!
 
Died a natural death!!?..did mchonga die a natural death?? did lupaso die a natural death?!..man up buddy!!
For him it was a decision from Gaberon which led to his demise!..he was too busy building the country than the Nation..
On his way to the burrial of Mr Lupaso he cried all the way hadi kesho yake akachelewa misa ya mazishi..unajua kwa Nini alilia hivyo?!...
Alijua what next..maana alishaonywa Mara nne kuwa the fate ya maamuzi unayofanya itakugarim...fanya hivi yeye anafanya vile ..na alipofika na kuzid ile threshold basi hakukuwa na namna Zaid ya kuexecute...
Ukipewa heshma ya kuongoza wenzako hata nyumban kwako tumia busara na kiasi..vinginevyo Kama si watoto wako Basi mkeo atakumaliza...
 
mkuu nimefurahi kuona uwepo wako ktk uzi huu
 
Eh big guns in the room.

Hatari sana wallah...kumbe haya mambo yanaweza kuwa kweli?!!
 
If anything mtu kama huyu kama kweli yupo kwenye system ni sehemu ya mafisadi anatoa warning watu wachukue tahadhari na ku leak plans kama kweli zipo.

Why resort to cowardice movements in a democratic society, za kutaka kuwekeana sumu and nonsense.

Mtu hafai na kwa taratibu za ritual baada ya miaka 10 ni gombania goli; be a man and show intentions.

Watu wanaotaka madaraka kwa kuviziana ni cowards tu.
 
Huyu jama@Tumia akili ,hajawahi leta Uzi ukapita Bure.Tusubiri.
 
Mwambie Huyo!!!anafikiri sisi ni wajinga kuweka kambi Hapa na kumaliza MB s ZETU!!!?
 

Hizo ni Ramli na fikra za kichawi chawi,

Mchonga and kondeboy both of them died at the age of seventy+,to live more than it's just a bonus,so why speculations about them resting in peace?

Mwendazake cried a river for kondeboy because he was his mentor and godfather of his destiny,and nothing else like the way you are claiming it to be,yaani kila kiongoz akifa basi ameuawa? viongoz pia ni wanadam why wasife,wamekufa mitume sembuse wao,I think the one who is supposed to man up is you my brother..,tukikuomba utupe ushahid wa hayo unayoyasema utatupa??
 
Safu ya wastaafu,
Inarudi kama siafu,
Dawa yao ni mafuta machafu.
 

Chizi

Aibu naona mimi
 
Hili ni ajabu la 9 kuonekana duniani ( Tanzania). MSTAAFU ALIYESTAAFU HATAKI KUSTAAFU)
 
Mstaafu ataweza ku remote ccm nzima ikiwa hakuna tatizo mahali.
Mstaafu anaweza tu kwa sababu ya mfumo mbaya wa katiba. Yaani akishamfikia mfalme na wakakubalina simu itapigwa na waimba ambia wataitwa na watammwagia sifa na utukufu.
Huu utamaduni mpya wa mapambio kwa kila asemalo mfame kwamba anaimwaga mwingi utasahihishwa na katiba sahihi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…