Mstaafu anakwama sababu ya kukosa ID ya NIDA

Mrs Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
1,002
Reaction score
2,278
Wakuu heshima kwenu,

Mbali na kuwa ana namba ya kitambulisho cha NIDA mzazi wangu aliyefikisha umri wa kustaafu anakwama kufwatilia process zote ndani ya halmashauri anapofanyia kazi kwakuwa anakosa kitambulisho cha NIDA. Wahusika wanaopokea barua zake wamekataa kutumia namba ya NIDA wanataka kitambulisho.

Kwa wenye uzoefu ninaomba kujua ni wapi anaweza kupata kitambulisho hicho maana ni wale waliojiandikisha awamu ya mwanzo kabisa kabla ya zile foleni za mwaka jana.

Asanteni.
 
Wakuu heshima kwenu,

Mbali na kuwa Ana namba ya kitambulisho cha NIDA mzazi wangu aliyefikisha umri wa kustaafu anakwama kufwatilia process
Akatafute kitambulisho, Hilo siyo la kuhitaji ufahamu, ni mstaafu wa Kada gani hiyo ambaye hakujua hata umhimu WA kuwa na kitambulisho cha NIDA. Mzee wako ni mzembe na usishangae siku akipata mafao akatepeliwa tena hela yote.

Endapo alijiandiksha toka mwanzo ina maana ni mwaka elfu na 12 kama sijakosea, awamu JK na vile vitambulisho visivyo kuwa na sahihi ya mwenye kitambulisho, 2012 mpaka Leo ni miaka 9 Mzee ameshindwa kufuatilia kitambulisho kweli?
 
Endapo alijiandiksha toka mwanzo ina maana ni mwaka elfu na 12 kama sijakosea, awamu JK na vile vitambulisho visivyo kuwa na sahihi ya mwenye kitambulisho, 2012 mpaka Leo ni miaka 9 Mzee ameshindwa kufuatilia kitambulisho kweli????
taratibu mkuu,
huyu mzee namba ya NIDA anayo ila kitambulisho cha Nida hana kama mamilion ya Watz wengi ambao bado wanasubiri.
Hebu hizi stress zisitupelekee hadi tukaanza kukosea heshima wazazi wa wa mtu.
 
Asante kwa kushiriki.
Natamani niandike kitu nikujibu kulingana na povu lako ila kwa kuwa tu kipindi hiki sipendi malumbano ngoja nikuache. Siku nyingine usitomboke kiasi hicho bila kujua alichopitia hadi kuwa hivyo
 
taratibu mkuu,
huyu mzee namba ya NIDA anayo ila kitambulisho cha Nida hana kama mamilion ya Watz wengi ambao bado wanasubiri.
Hebu hizi stress zisitupelekee hadi tukaanza kukosea heshima wazazi wa wa mtu.
Achana na huyu punguani. Wala sitamjibu kwa ubaya.
 
Wakuu heshima kwenu,

Mbali na kuwa Ana namba ya kitambulisho cha NIDA mzazi wangu aliyefikisha umri wa kustaafu anakwama kufwatilia process zote ndani ya halmashauri anapofanyia kazi kwakuwa anakosa kitambulisho cha NIDA. Wahusika wanaopokea barua zake wamekataa kutumia namba ya nida wanataka kitambulisho.

Kwa wenye uzoefu ninaomba kujua ni wapi anaweza kupata kitambulisho hicho maana ni wale waliojiandikisha awamu ya mwanzo kabisa kabla ya zile foleni za mwaka jana.

Asanteni.
Mwambie 'Penye udhia apenyeze rupia'.
 
Akatafute kitambulisho, Hilo siyo la kuhitaji ufahamu, ni mstaafu wa Kada gani hiyo ambaye hakujua hata umhimu WA kuwa na kitambulisho cha NIDA. Mzee wako ni mzembe na usishangae siku akipata mafao akatepeliwa tena hela yote.

Endapo alijiandiksha toka mwanzo ina maana ni mwaka elfu na 12 kama sijakosea, awamu JK na vile vitambulisho visivyo kuwa na sahihi ya mwenye kitambulisho, 2012 mpaka Leo ni miaka 9 Mzee ameshindwa kufuatilia kitambulisho kweli?
Umekuja na hasira sana kale chaoula kaka.
 
Asante sanaaaa
Wewe (kwa niaba ya mzee) unahitaji kitambulisho (physical card) na sio online copy.

Kwa ufahamu wangu mimi, hiyo elfu 20 ni kwa mtu ambaye amepoteza au ameharibu kitambulisho hivyo anataka atengenezewe tena (Renew).

Sioni haja ya nyinyi kugharamika hivyo.

Cha msingi kawaeleze kwamba mzee ana namba tayari, lakini mnajitaji ile kadi na mna shida nayo ya haraka hivyo wawasaidie kwa hilo.

Hampaswi kugharamika maana NIDA bado hawana huduma ya "fast track for pay".
Vinginevyo pesa yoyote utakayoitoa iwe ni ya "kubrashia viatu" (wewe si mgeni na nchi hii, naamini umenielewa).
 
Wakuu heshima kwenu,

Mbali na kuwa Ana namba ya kitambulisho cha NIDA mzazi wangu aliyefikisha umri wa kustaafu anakwama kufwatilia process zote ndani ya halmashauri anapofanyia kazi kwakuwa anakosa kitambulisho cha NIDA. Wahusika wanaopokea barua zake wamekataa kutumia namba ya nida wanataka kitambulisho.

Kwa wenye uzoefu ninaomba kujua ni wapi anaweza kupata kitambulisho hicho maana ni wale waliojiandikisha awamu ya mwanzo kabisa kabla ya zile foleni za mwaka jana.

Asanteni.
Sasa huyo mstaafu vipi? Anakosaje kitambulisho cha Utanzania? Hicho siyo kitambulisho cha NIDA, ni kitambulisho cha kumtambulisha kuwa yeye siyo feki ni raia wa Tanzania. Kama hana maana yake ni mkimbizi. Ameingiaje nchini? Uhamiaji inawahusu hapo. Watu wengi walipuuza sana kujiandikisha ili wapate ID sasa inakula kwao!
 
Sasa huyo mstaafu vipi? Anakosaje kitambulisho cha Utanzania? Hicho siyo kitambulisho cha NIDA, ni kitambulisho cha kumtambulisha kuwa yeye siyo feki ni raia wa Tanzania. Kama hana maana yake ni mkimbizi. Ameingiaje nchini? Uhamiaji inawahusu hapo. Watu wengi walipuuza sana kujiandikisha ili wapate ID sasa inakula kwao!!!!
Tatizo hujasoma vizuri. Sasa asingejiandikisha angepata wapi namba ya nida? Mtu alijiandikisha tangu 2015 namba ikatoka kitambulisho kuchelewa ni kosa Lake kweli? Elimu, elimu, elimu
 
Sasa huyo mstaafu vipi? Anakosaje kitambulisho cha Utanzania? Hicho siyo kitambulisho cha NIDA, ni kitambulisho cha kumtambulisha kuwa yeye siyo feki ni raia wa Tanzania. Kama hana maana yake ni mkimbizi. Ameingiaje nchini? Uhamiaji inawahusu hapo. Watu wengi walipuuza sana kujiandikisha ili wapate ID sasa inakula kwao!!!!
Nguto kwa kisandawe Ni kondoo jike lisilo zaa
 
Wewe (kwa niaba ya mzee) unahitaji kitambulisho (physical card) na sio online copy.

Kwa ufahamu wangu mimi, hiyo elfu 20 ni kwa mtu ambaye amepoteza au ameharibu kitambulisho hivyo anataka atengenezewe tena (Renew).

Sioni haja ya nyinyi kugharamika hivyo.

Cha msingi kawaeleze kwamba mzee ana namba tayari, lakini mnajitaji ile kadi na mna shida nayo ya haraka hivyo wawasaidie kwa hilo.

Hampaswi kugharamika maana NIDA bado hawana huduma ya "fast track for pay".
Vinginevyo pesa yoyote utakayoitoa iwe ni ya "kubrashia viatu" (wewe si mgeni na nchi hii, naamini umenielewa).
Ninashukuru mkuu
 
Mimi nilikuwa mtu wa mwanzo kupata vitambulisho vya NIDA zoezi lilivoanzaga mwanzoni kabisa, mbona wameweka expire date kuwa ni 2024 hivi Wana maana gani Ina maada mda ukiisha hakitumiki Tena au?

Maana ninavoona process ya kupata NIDA ilivo ngumu why waliweka expire date
 
Mzee wako kama anakaribia kustaafu anapaswa aandike barua kwa mwajiri wake kuomba kustaafu.

Mwajiri wake atamwandikia barua (kibali cha kustaafu).

Kama wanahitaji kitambulisho physically wanamsumbua tu. Kitambulisho cha NIDA siyo kigezo cha lazima cha kustaafu japo ni muhimu.
Ni PM niko Moshi naweza kukuelekeza zaidi.
 
Nishaku PM
 
Back
Top Bottom