Mstaafu mmoja anarudi tena kazini, wengi mtashangaa

Hivi mafao ya ustaafu ya Unaibu waziri Mkuu si anapata?
 
Kutoka kwenye korido za siasa huko teeth, Mstaafu mmoja aliyependwa sana awamu ya 5 tayari amedokezwa ajiandae kula kiapo siku chache zijazo kama Makamu wa Rais mpya.
Anawe sema ni mkali kupindukia huenda akawa na misimamo kama ya magu endapo akija kabidhiwa kamili.sema ni mchapa kazi kiutendaji anaweza weza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…