Mstaafu mwenye umri wa miaka 53 amejiua kwa kujichoma moto baada ya mahakama kuamuru kuuza mali zote na kugawana na mkewe mara baada ya kupeana talaka

mnachuma wote juani kwa bidii na baadaae mpongezana kwa upendo na mapenzi mazito πŸ’

halafu mkishindwana ati sasa moja anabadilika kua ni mmiliki wa mwingine kwenye suala la mali πŸ’

hapana,
si sawa.
mmekutana mkaamua kuishi papoja, mmepambana pamoja kwa jasho, gawaneni sawa sawa, kwa haki na usawa kwa mujibu wa sheria, kila moja akaanze maisha mengine kwa amani πŸ’

kujipiga kitanzi haina maana yeyote na wala haisaidii πŸ’
 
Mjinga mmoja kapungua duniani...
 
Mijanajike mingi inapenda kukudolea macho mali zetu wanaume,,,, ukilitongoza hapo hapo linakulalamikia shida zake na za kwao zote....Mie sitokuja kuwalaumu hata siku moja wanaochukua malaya shivaz, kimboka, riverside, kitambaa cheupe, sinza maana baada ya kumaliza shughuli zako hakuna kurogana wala kuchukuliwa mali zako kizembe.

Nitafute mali zangu kwa nguvu zote alaf janajike lije tu **** lake lije linifilisi kama sio ung*se nini huu?
 
Kwanza tujue hiyo ndoa ina umri gani tangu waoane. Huyo mwanamke naye ni shetani tu, why atake kugawana mali wakati hakuchangia kitu from scratching? Kama ameona mume wake amestaafu na hana deal kwake tena angesepa tu kiulaini akatafute viben ten anavyotaka kuliko kusababisha majanga kwa mstaafu
 
Sijasoma habari yako yote
Hata hivyo kwa tafiri ya sheria ya kazi ya Tanzania, mstaafu ni mtu aliyefikisha umri wa kuanzia miaka 55 hapo ndipo mtu huruhusiwa kustaafu kwa hiari na miaka 60 ndio umri wa kustaafu kisheria.
Nyongeza; mtu mwenye umri wa miaka 53 hajawa na sifa ya kulipwa mafao yake hivyo huyu unayemuita mstaafu hata mafao alikuwa hajalipwa
 
Nina jamaa yangu kijana mbichi aliyefunga ndoa na kupata mtoto mmoja. Mke wake ni staff kama yeye japo ni fani tofauti. Mwanamke kamchenjia gia hewani hamtaki tena na yuko kwa mwanaume mwingine anayemzidi kipato mume wake wa ndoa. Mwanamke kafungua kesi mahakamani kudai talaka aachwe huru na wagawane mali. Jamaa kasema akioa tena mali zake zote ataandika jina la mama yake ili kukwepa fedheha ya kukwepa dhahma ya kugawana mali na tapeli wa ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…