Mstaafu mwenye umri wa miaka 53 amejiua kwa kujichoma moto baada ya mahakama kuamuru kuuza mali zote na kugawana na mkewe mara baada ya kupeana talaka

Mstaafu mwenye umri wa miaka 53 amejiua kwa kujichoma moto baada ya mahakama kuamuru kuuza mali zote na kugawana na mkewe mara baada ya kupeana talaka

Wanaume tujifunze jambo gumu!

Ukiamua kuishi na mwanamke akakuzalia watoto automatic umejitoa mhanga nguvu zako zote za ujana!!

Wahakikishie kuwa hizo ni zao yaani watoto na mama yao yaani kiroho waachie!

Ukiona kiburi kimepamba moto ,tafuta saizi.yako sepa waache hapo.na waambie watoto kwamba nimeoa mwingine hatuelewani mama yenu !!

Hivyo TU,usinganganie Mali kwamba ni zako.wakati una watoto umezaa na mwanamke!!
 
Shadow7 naomba uni letee link ya Uzi wa kataa ndoa ni hazina ya kesho.
 
Mijanajike mingi inapenda kukudolea macho mali zetu wanaume,,,, ukilitongoza hapo hapo linakulalamikia shida zake na za kwao zote....Mie sitokuja kuwalaumu hata siku moja wanaochukua malaya shivaz, kimboka, riverside, kitambaa cheupe, sinza maana baada ya kumaliza shughuli zako hakuna kurogana wala kuchukuliwa mali zako kizembe.

Nitafute mali zangu kwa nguvu zote alaf janajike lije tu **** lake lije linifilisi kama sio ung*se nini huu?
Umesahau kutaja chimbo bora la muda wote MRINA ANNEX
 
Naam uko sahihi kabisa 😆, Kataa ndoa ni hazina ya kesho
 
Sijasoma habari yako yote
Hata hivyo kwa tafiri ya sheria ya kazi ya Tanzania, mstaafu ni mtu aliyefikisha umri wa kuanzia miaka 55 hapo ndipo mtu huruhusiwa kustaafu kwa hiari na miaka 60 ndio umri wa kustaafu kisheria.
Nyongeza; mtu mwenye umri wa miaka 53 hajawa na sifa ya kulipwa mafao yake hivyo huyu unayemuita mstaafu hata mafao alikuwa hajalipwa
Wewe mpuuzi ungesoma habari ungepata jibu la hizo fikra zako za kipuuzi. Ukiwa kiongozi wa serikali tutapigwa snaa kwenye mikataba kwa uvivu wako kipuuzi.
 
hizi tabia za kufata kila kitu cha umagharibi ndipo vinavyotufikisha hapa
 
Back
Top Bottom