To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Hakikamnachuma wote juani kwa bidii na baadaae mpongezana kwa upendo na mapenzi mazito 🐒
halafu mkishindwana ati sasa moja anabadilika kua ni mmiliki wa mwingine kwenye suala la mali 🐒
hapana,
si sawa.
mmekutana mkaamua kuishi papoja, mmepambana pamoja kwa jasho, gawaneni sawa sawa, kwa haki na usawa kwa mujibu wa sheria, kila moja akaanze maisha mengine kwa amani 🐒
kujipiga kitanzi haina maana yeyote na wala haisaidii 🐒