NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngoja aje kaka yako dronedrake akazieKATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA UNAFIKI WA 50/50
View attachment 2928086
We nani tenaπππ€, aisee Ile task kwa Lizzy si ni lazima.Sasa IB unaharibu ule mpango wa Dr Lizzy π π π bora ukatae ndoa kichinichini
Shadow7 naomba uni letee link ya Uzi wa kataa ndoa ni hazina ya kesho.
Umesahau kutaja chimbo bora la muda wote MRINA ANNEXMijanajike mingi inapenda kukudolea macho mali zetu wanaume,,,, ukilitongoza hapo hapo linakulalamikia shida zake na za kwao zote....Mie sitokuja kuwalaumu hata siku moja wanaochukua malaya shivaz, kimboka, riverside, kitambaa cheupe, sinza maana baada ya kumaliza shughuli zako hakuna kurogana wala kuchukuliwa mali zako kizembe.
Nitafute mali zangu kwa nguvu zote alaf janajike lije tu **** lake lije linifilisi kama sio ung*se nini huu?
Ukiona mtu mzima mama, ana Lia mbele za watu. Ujue Kuna Jamboπ.Inasikitisha sana ,kwanini mgawane? Hakuna watoto?
Naam uko sahihi kabisa π, Kataa ndoa ni hazina ya keshoKataa ndoa ni hazina ya kesho
Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno. Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka. swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki una Lia Lia. maigizo, kilio, Kisi kudanganye kijana. Mwenyekiti wa kataa ndoa ni, Liverpool VPN, 02...www.jamiiforums.com
Kila siku ana kazaππ, ana ringa huyo π€£Raine Col ule ushauri wako wa kuoa baki nao π
Wewe mpuuzi ungesoma habari ungepata jibu la hizo fikra zako za kipuuzi. Ukiwa kiongozi wa serikali tutapigwa snaa kwenye mikataba kwa uvivu wako kipuuzi.Sijasoma habari yako yote
Hata hivyo kwa tafiri ya sheria ya kazi ya Tanzania, mstaafu ni mtu aliyefikisha umri wa kuanzia miaka 55 hapo ndipo mtu huruhusiwa kustaafu kwa hiari na miaka 60 ndio umri wa kustaafu kisheria.
Nyongeza; mtu mwenye umri wa miaka 53 hajawa na sifa ya kulipwa mafao yake hivyo huyu unayemuita mstaafu hata mafao alikuwa hajalipwa
Si alikwambia atakufutia ole wako uzingue π€£π€£π€£We nani tenaπππ€, aisee Ile task kwa Lizzy si ni lazima.
'Wanawake msiwapigie Kura wanaume.....'#KataaNdoa hadi Zambia.
Nisha kujua pimbi weeππ€£π€£,,Si alikwambia atakufutia ole wako uzingue π€£π€£π€£
Ushaanza print za kataa nddoa, akifanikiwa kukutafutianna akipita humu π€£π€£π€£ ili Hali anakuhitaji ndoani
Ushachomaaa πππ
Mpeleke polepole bado ni undergroundKila siku ana kazaππ, ana ringa huyo π€£
hatujuani hata kidogo π€£π€£π€£ ...nakupa warning kama mwanaume mwenzangu precautions muhimu labda uwe hujamaanisha request Kwa Dr Lizzy maana hawezi kukupa Pande kimeoNisha kujua pimbi weeππ€£π€£,,
We Nisha kujua makarai π, pasi ikiwa Safi na scoreπ€hatujuani hata kidogo π€£π€£π€£ ...nakupa warning kama mwanaume mwenzangu precautions muhimu labda uwe hujamaanisha request Kwa Dr Lizzy maana hawezi kukupa Pande kimeo
Mkuu naona umegongelea msumari wa nchi 6 kabisa KATAA NDOA, Nakuunga mkono master.KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA UNAFIKI WA 50/50
View attachment 2928086