Mstaafu mwenye umri wa miaka 53 amejiua kwa kujichoma moto baada ya mahakama kuamuru kuuza mali zote na kugawana na mkewe mara baada ya kupeana talaka

Hakika
 
Unafanya hivyo anahamia baba wa watoto halisi apo ulipokimbia[emoji1787][emoji1787]
 
Inaumiza sana pale unapoingia kwenye ndoa ukitarajia kuondoka na Mali za mtoto wa watu....mi naona tujifunze kuondoka na wanetu Mali mwachie Mwenye nazo

Cc: DR SANTOS
Wakikusikia wale wa kule machame, watakukata miguu.wanapenda mali hakuna mfano
 
Sheria ipi inasema mali ya mwanamke ni yake pekee?

Umelishwa Matango pori ndugu
 
Angekubali afu wanatafuta mteja,kwenye mgawanyo Sasa.
Angefanya umafia,afu akatokomea kusikojulikana,swala la kujiuwa afu mbwa yule anabaki hai hapana.
Mahakama bhana,kwani walikuwa hawana Watoto πŸ™„πŸ™„.

Maajabu haya,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…