Uchaguzi 2020 Mstahiki Meya wa Ubungo Boniface Jackob achukua fomu ya kuomba ubunge wa Jimbo la Ubungo kwa Kishindo

Communism ni Falsafa ambayo Mabwana zako CCM hawajawahi kuiishi hata Siku moja
Utakuwa hujui Maana ya communism ndio Maana unaropoka ndio falsafa ya CCM
 
Acha kudanganya kwan wapinzani waliokuwepo bungeni miaka iliyopita walishindaje mbona tume ni hii hii ya sasa?
Mchawi tume huru tu hapo, tofauti na hapo ni kujitekenya na kucheka mwenyewe. Kwa tume iliyopo hakuna mpinzi yoyote atakaerudi bungeni, mark my words.
 
Amekuwa Diwani amekuwa Meya hakufanya mabadiliko yoyote atauweza Ubunge.. anyway Dar es salaam Sasa Ni Kijani 2020.....Hakuna Mbunge wa upinzani hapa.
 
Amekuwa Diwani amekuwa Meya hakufanya mabadiliko yoyote atauweza Ubunge.. anyway Dar es salaam Sasa Ni Kijani 2020.....Hakuna Mbunge wa upinzani hapa.
Kwani Jiwe si ni Rais wa nchi nzima including Ubungo ?
Ulisikia Diwani na Mayor wanakusanya kodi ?
Halafu mbona Ubungo Mambo kibao tu yamefanyika
Miradi ya Maji,Barabara,Madaraja, tembelea Kimara Bonyokwa, Temboni Mpaka Goba ujionee.
 
Mkuu kama wewe na mzazi wako mnaongea pumba kiasi hiki sisi ni nani kuwakataza??

Endeleeni kuunga juhudi mkono
 
Tatizo lako nahisi unatokea kule kwetu kongwa kuwa hakuna kilichofanyika
Amekuwa Diwani amekuwa Meya hakufanya mabadiliko yoyote atauweza Ubunge.. anyway Dar es salaam Sasa Ni Kijani 2020.....Hakuna Mbunge wa upinzani hapa.
 
Mkuu kama wewe na mzazi wako mnaongea pumba kiasi hiki sisi ni nani kuwakataza??

Endeleeni kuunga juhudi mkono
Jamaa hakumuelewa Mamaake kuwa anatamani wanaume dizaini ya MABOKSA,WACHEZA FILAMU ZA MAPIGANO NA MIELEKA.
Kimsingi Mamaake akikutana na Boniface Jacob lazima akalishwe
 
Acha kudanganya kwan wapinzani waliokuwepo bungeni miaka iliyopita walishindaje mbona tume ni hii hii ya sasa?
Ukiendesha gari upande wa kulia wa barabara na ikatokea hujapata ajali haina maana kuwa ni sawa kufanya hivyo.

Bahati mbaya asilimia kubwa ya watanzania wana akili kama zako ndio maana tunashindwa kutoka hapa tulipo.
 
Communism ni Falsafa ambayo Mabwana zako CCM hawajawahi kuiishi hata Siku moja
Utakuwa hujui Maana ya communism ndio Maana unaropoka ndio falsafa ya CCM
Inaonekana ni namna gn usivyo MTULIVU kusoma between lines...endelea kuwa mateka wa ndoto zisizokuwepo.
 
Hukumuelewa Mama yako, ni kwamba anatamani Baba yako angekuwa kama hao Jamaa MABOKSA,WACHEZA FILAMU ZA MAPIGANO NA MIELEKA.
Kimsingi Mama yako akikutana na Jacob Boniface lazima atoe Mzigo
Sawa
 
Binadamu timamu yoyote,mke wa baba yake hawezi mwita "mke wa baba",bali atamwita mama.
Hapa hoja iliyopo mezani ni Bonifasi J kuchukua fomu ya kuomba kupitishwa na chama kugombea ubunge. Wewe kwa nini usifungue uzi kuhusiana na hayo uliyoyaandika?
 
Communism ni Falsafa ambayo Mabwana zako CCM hawajawahi kuiishi hata Siku moja
Utakuwa hujui Maana ya communism ndio Maana unaropoka ndio falsafa ya CCM
Hangover ya faru John hiyo....tatizo lenu hamsomi between lines....bavicha wepesi Sana sijui wapi mlikopewa kichwa na kuwa overrated...,supu njema😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…