Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Communism ni Falsafa ambayo Mabwana zako CCM hawajawahi kuiishi hata Siku mojaHaikuanza Jana......
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza maswali juu ya CHADEMA....haswa KUHUSU MRENGO WAKE WA KISIASA....
LEO mh.Boniface Jackob amenipatia mwanga.....
MWANGA WENYEWE NI KUWA CHADEMA NI KIKUNDI TU CHA WANAOJIFANYA WANASIASA LAKINI WASIO NA HATA MWELEKEO WA KISIASA....
CCM inaamini katika ujamaa na kujitegemea na ndio mana ni kawaida kuwaona wakijinasibu na ujamaa ama hata UKOMUNISTI japo si Sana na CCM(si wakomunisti) hizi ni baadhi ya SLOGANS zake km;
1.Viva
2.Aluta Continua
3.Siempre Siempre
4.Hasta la victoria
Prof.Lumumba mtunduizi na mwanamajumui wa afrika alipata kusema kuwa,CCM na ANC ndivyo vyama viwili pekee vilivyo IMARA barani afrika,kiitikadi na KIMTANDAO.....
CHADEMA hawana ITIKADI imara...
CHADEMA hawana FALSAFA......
CHADEMA hawana MTANDAO kutoka mashinani mpaka TAIFA....
Kubwa la yote CHADEMA hawaamini katika ITIKADI YAO tusiyoijua na HAWAIJUI ITIKADI yao TUNAYOIAMINI.
Rudisha Jicho lako hapo juu na muangalie kwa Mara nyingne mh. BONIFACE JACKOB.....
Bwana huyu anajifananishaje na EL COMMANDANTE Tate Julius Malema?!!!!
Lini CHADEMA kimeanza kuwa chama Cha KIKOMUNISTI.....
Lini CHADEMA kimeanza kuwa chama Cha kijamaa mithili ya ujamaa wa CCM na taswira yake halisi ya Mwenyekiti mh.Magufuli......
CDM haina DIRA....
CDM ni wajanjajanja tu wa MJINI....
MAPICHAPICHA
MAPICHAPICHA
Bongo movies+Nollywood+Bollywood+Hollywood[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakuwa hujui Maana ya communism ndio Maana unaropoka ndio falsafa ya CCM