Millennium bahati
Member
- Jun 9, 2017
- 98
- 148
Now the works of the flesh are evident, which are these: fornication, uncleanness, lasciviousness, idolatry, sorcery, enmity, strife, jealousy, fits of anger, dissensions, heresies, envy, drunkenness, revelries, and things like these. Of these I tell you beforehand, as I have told you in time past, that those who practice such things will not inherit the kingdom of God.Binafsi kwa siku ya leo, mstari huu wa BIBLIA umegusa maisha yangu nazidi kuutafakari na kuomba neema nipate kuuelewa zaidi na kuyaishi mafundisho hayo.
Galatians 5:22-23
Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
Jana nilikuwa natafakari kitu, Jana usiku!Filp 4:13
Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.
Just imagine mambo yote how amazing. Inanipa imani na kuzidi kupambana nikijua kuwa nayaweza hata yawe magumu vipi.
Kipotoshi ... Kipotoshi ... Kipotoshi my doutaaa πYesu alipobebwa mzimamzima na shetani mpaka mlimani na kuonyeshwa ufalme wote wa dunia. Ni kweli kabisa, utajiri ni wa shetani.
Sijakuelewa Mkuu ... Mzizi kiwa mjinga? Au typing errorUle mstari wa mzizi kiwa mjinga jamani nauomba. Maama hiyo ndio heading ya maisha yangu
Yeremia 11:11Jeremiah 11:11
πππUle mstari Paul anaomwambia timotheo apige kamnyweso kwa ajili ya magonjwa ya tumbo πππ»π»
Bila shaka ni Galatians 5 : 19-21 .Now the works of the flesh are evident, which are these: fornication, uncleanness, lasciviousness, idolatry, sorcery, enmity, strife, jealousy, fits of anger, dissensions, heresies, envy, drunkenness, revelries, and things like these. Of these I tell you beforehand, as I have told you in time past, that those who practice such things will not inherit the kingdom of God.
Ndio kuwa mtu anaye zini basi ni hana akili...upo huo mstariSijakuelewa Mkuu ... Mzizi kiwa mjinga? Au typing error
Asante sanaπͺπΏππΏππΏBila shaka ni Galatians 5 : 19-21 .
Shukrani sana mkuu, tuzidi kubarikiwa sote kwa pamoja, safari ya kujifunza haina kikomo.
Huu hapa mkuu.Ule mstari Paul anaomwambia timotheo apige kamnyweso kwa ajili ya magonjwa ya tumbo πππ»π»
Ndagha kikolo ππHuu hapa mkuu.
1 Timotheo 5:23
Usiendelee kunywa maji tu bali tumia divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako na maumivu yako ya mara kwa mara.
Mithali 6:32Ndio kuwa mtu anaye zini basi ni hana akili...upo huo mstari