Mstari gani wa BIBLIA umegusa maisha yako?

Mstari gani wa BIBLIA umegusa maisha yako?

Binafsi kwa siku ya leo, mstari huu wa BIBLIA umegusa maisha yangu nazidi kuutafakari na kuomba neema nipate kuuelewa zaidi na kuyaishi mafundisho hayo.

Galatians 5:22-23
Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
Usiogope
 
👍All the time
All the time,

Maelfu ya watoto wadogo wamekufa huko Palestina Gaza, Goma DRC, Tigray Ethiopia, Turkana North Kenya n.k

Na huyo God ambaye mnadai ni mwema all the time hajafanya kitu wala kusaidia chochote.👇
FB_IMG_1722976782305.jpg
JamiiForums1832832046.jpeg
 
Niambie ulicho win with your God.

Halafu niambie ni kipi sisi tusio mwamini huyo Mungu hatujawin?

Mimi nimewin karibu kila kitu without God.
That’s you & ur things.. ila mimi nina vingi nime WIN.
 
Subiri Infropreneur aje kuwavuruga humu nyie wote

🤣🤣🤣🤣
Kutumia quotes za Quran na Biblia ni kujipa Matumaini uchwara. Yasiyo saidia lolote.

Maandiko ya kidini Biblia na Quran hayana nguvu yoyote ile ya kubadilisha maisha ya mtu yeyote yule.

Sanasana, yanakupa MATUMAINI UCHWARA.

Lakini uhalisia unabaki palepale.

Kama huyo Mungu kashindwa kumkinga na kumsaidia Papa asipate Pneumonia, Ndio unategemea ataweza kukusaidia wewe?

Hakuna Mungu ndio maana hata hawa watu wanaojiita watakatifu wa Mungu wanateseka na shida za dunia..👇
FB_IMG_1740317367602.jpg
 
That’s you & ur things.. ila mimi nina vingi nime WIN.
Umewin kwa nguvu, jitihada, na maarifa yako binafsi.

Wala si kwa nguvu za huyo Mungu.

Kama unabisha, Acha kazi au funga biashara zako zote umtegemee huyo Mungu akulishe na kukulipia bills.
 
Binafsi sio mtu wa kiroho sana na husali mara chache na sio msomaji wa biblia. Mimi ni mkristo mkatoliki

Kuna sikuambo yalinisonga sana kwa hiyo moyo ukakosa furaha kwa sababu mambo yangu hayaendi

Basi siku hiyo nikasali serious kisha nikalala. Hofu yangu kubwa ilikua ni kukata tamaa na harakati zangu na hofu kubwa kama nitavuka au nitaangamia

Usiku nilishtuka usingizini huku akili yangu imezingatia zaburi 33:11. Niliamka chap nikaiandika kabla sijasahau. Kisha nikaitafuta kwa biblia ya kwenye simu,inasomeka hivi;

11 Shauri la Bwana lasimama milele, Makusudi ya moyo wake vizazi na vizazi. (The counsel of the Lord stands forever, the plans of his heart to all generations". )

Basi wakuu nikaweka hiyo rekodi nikalala. Kwa sababu mimi sio mtu wa mambo ya kiroho sana niliamua tu kubaki na huo mstari hata nisijue nianzie wapi na niishie wapi
 
Umewin kwa nguvu, jitihada, na maarifa yako binafsi.

Wala si kwa nguvu za huyo Mungu.

Kama unabisha, Acha kazi au funga biashara zako zote umtegemee huyo Mungu akulishe na kukulipia bills.
Stop being rude bhanaa 😅
Nilikuwa sina, nikamuomba. Akanizidishia maarifa ya utafutaji.. akanipa ushindi ❤️
 
Kutumia quotes za Quran na Biblia ni kujipa Matumaini uchwara. Yasiyo saidia lolote.

Maandiko ya kidini Biblia na Quran hayana nguvu yoyote ile ya kubadilisha maisha ya mtu yeyote yule.

Sanasana, yanakupa MATUMAINI UCHWARA.

Lakini uhalisia unabaki palepale.

Kama huyo Mungu kashindwa kumkinga na kumsaidia Papa asipate Pneumonia, Ndio unategemea ataweza kukusaidia wewe?

Hakuna Mungu ndio maana hata hawa watu wanaojiita watakatifu wa Mungu wanateseka na shida za dunia..👇
View attachment 3247909
Nipe somo zaidi naanza kukuelewa
 
Stop being rude bhanaa 😅

Nilikuwa sina,
Huyo Mungu alikuwa wapi wakati ukiwa huna?
nikamuomba. Akanizidishia maarifa ya utafutaji.. akanipa ushindi ❤️
Ulivyokuwa huna, ulikaa tu ukasubiri na huyo Mungu akaja kukupa ukiwa umesubiri tu?

Au ulikuwa unahangaika zako kwa jasho la damu, Halafu baada ya kufanikiwa ndio unaingiza habari za Mungu?
 
Nipe somo zaidi naanza kukuelewa
A God who requires praises when you win should not shy away from taking blames when you lose.

Mungu ambaye anataka asifiwe tu kwenye mema, Pia awe tayari kulaumiwa kwenye mabaya.

Sio atake kusifiwa tu, kulaumiwa Aaaaaaaah!!!!
 
A God who requires praises when you win should not shy away from taking blames when you lose.

Mungu ambaye anataka asifiwe tu kwenye mema, Pia awe tayari kulaumiwa kwenye mabaya.

Sio atake kusifiwa tu, kulaumiwa Ahaaaaaaa!!!!
So what do you think about that?

Which side are you? You believe there is no God
 
So what do you think about that?

Which side are you? You believe there is no God
Mimi siamini kwenye kuamini.

Sina imani ya aina yeyote ile.

Sihitaji kuamini.

Nahitaji kujua kwa uhakika ushahidi na uthibitisho.

Mimi najua Hakuna Mungu.
 
Back
Top Bottom