Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salama mkuu! Vipi za jua la dar?Amen habari za jumatatu mkuu
You are scared of the truth.Why is it that when I read this the sound that comes into my head sounds rude
Is this a rude reply
Hii nayo nzuri sana. Maagizo ya Ndoa1 Wak 7:5
Msinyimane
Acha niende kulima mimiYou are scared of the truth.
You have been brainwashed and indoctrinated for so long.
You don't want to learn.
You just want constant reassurance that whatever you believe in, is the only truth.
You need an urgent brain reset.
You need to restore your brain to factory settings.
Wewe ni wa kupuuzwa tu basi.Biblia ni kitabu cha kitapeli namba moja duniani.
Kabisa ilimradi muwe na kiasi mkumbuke ibada, msije mkajaribiwa mkaingia majaribuni.Hii nayo nzuri sana. Maagizo ya Ndoa
Bruh nimekaa hapa naona kusinzia natamani kukaa kwenye ubaridi nachoka!!Salama mkuu! Vipi za jua la dar?
Nayaweza Yote Katika Yeye Anitiaye Nguvu.Umewin kwa nguvu, jitihada, na maarifa yako binafsi.
Wala si kwa nguvu za huyo Mungu.
Kama unabisha, Acha kazi au funga biashara zako zote umtegemee huyo Mungu akulishe na kukulipia bills.
Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.Nayaweza Yote Katika Yeye Anitiaye Nguvu.
Kumcha Bwana Ni Chanzo Cha Maarifa.
Hivyo vyote ulivyo navyo na unavyojivunia kuwa navyo ni Kwa Neema Ya Mungu Tu.
Yeye ni Mwenye Upendo Siku Zote. Hata Kama Wewe Haumpendi,
Yeye Anakupenda.
Ungeweza Kujiumba Mwenyewe Hapo ningesema ni Kwa Nguvu zako,Maarifa Yako na jitihada zako.
Nimei-screenshot hiiZaburi 126:1
[1]BWANA alipowarejeza mateka wa Sayuni,
Tulikuwa kama waotao ndoto.
When the LORD turned again the captivity of Zion, we were like them that dream.
Huu mstari! Ninaupenda sana, ni wazi kuwa waliosema haya maneno "... Tulikuwa kama waotao ndoto"
Ni wazi kuwa walikuwa wamekwisha kukata tamaa na kupoteza Tumaini. Yaani waliamini ndo basi Tena, haiwezekani jambo Hilo Kutokea!
Umewahi Kutafuta kazi, ndoa, mahusiano yenye Amani, mtoto, uponyaji, au Chochote kwa muda mrefu sana!
Kwa maombi, sadaka na kufunga lakini jambo Hilo hukulipata! Ukafikia hatua ya kukata tamaa na kumkatia tamaa Mungu!
Katika Hali hiyo Sasa! Mara gafla siku moja unashangaa unapokea haja ya moyo wako ya muda mrefu!
Ndio Hawa Sasa wanasema "Tulikuwa kama waotao ndoto" yaani hakutegemea kabisa!
🤓
Ubarikiwe sanaaa MkuuNimei-screenshot hii
Pole Mkuu!Bruh nimekaa hapa naona kusinzia natamani kukaa kwenye ubaridi nachoka!!
Aaaah kumbe, vzr kaka tupo pamoja 👊 😂Pole Mkuu!
Mimi nipo kijiweni hapa naangalia draft jamaa wanacheza