"Msukule" wa Mapenzi...

Mwambie wazi ataishia kwa walimu vichwa maji wasioelewa mwanzo wala mwisho na then mwisho atalizwa yeye badaya ya kupata msukule atapatikana yeye. Watu wana professional zao sio za kufundishwa na wakizitumia hata kama ni act inakuwa real

...kuna ile ya mtu anafanywa msukule then siku ya siku anakugeuzia kibao! ...si unaijua zile za mume na mke wanapanga kumtia adabu Ex-Spouse (msumbufu) halafu kinachompata anashindwa hata kwenda shitaki polisi?...
 
Mbu hii mada nimeikutia mbali naona uvivu kusoma ..nitwangie radio call unipe mhitatasari wake ndo nichakachue
 

Mkuu BaK,

....nashukuru sana kwa ushauri na maoni mwanana kabisa...dahhh...heshima mbele.
Wasumbufu wengi hawajui usumbufu wao huzalisha chuki mbaya sana kiasi cha mhusika/wahusika kwa
maana ya mke na mume wakaamua kufanya tendo ambalo ni kinyume kabisa na ubinnadamu.

Mw'mungu atunusurishe na haya.

Bro BAK, avatar ipi hiyo mkuu?...wewe ni mtu wa nne sasa unanihoji hili...
inafaa nikiri wengi wape, wakati umefika nisikize kilio cha wengi nini?...lol!
 
Reactions: BAK
...kuna ile ya mtu anafanywa msukule then siku ya siku anakugeuzia kibao! ...si unaijua zile za mume na mke wanapanga kumtia adabu Ex-Spouse (msumbufu) halafu kinachompata anashindwa hata kwenda shitaki polisi?...

Ndo ubaya wa kufundishwa maana huwezi kushika kila step utakayoambiwa ni lazima utakosea some stages na ukishakosea inakuwa umeharibu kila kitu
Bora abaki na kile alicho nacho na kama hana hiyo tabia ya kuwafanya watu msukule bora asiwe nayo kabisa
 
Reactions: Mbu
Mbu hii mada nimeikutia mbali naona uvivu kusoma ..nitwangie radio call unipe mhitatasari wake ndo nichakachue

Duh! FL1! nilidhani niko pekee yangu katika hili. Hata mimi kama nafasi hainiruhusu kusoma michango yote au sikuchangia wakati thread bado iko changa basi huwa nasikia ugumu mno kuchangia. Afadhali sasa nimefahamu kwamba kumbe si mimi pekee yangu 🙂 . Msalimie baby na pia nakutakia weekend njema 🙂

 
Last edited by a moderator:
mwanajamii one umenichekesha sana, hata mimi sijui wanafanyiwa nini mpaka wanakosa control
...................Ndio hapo Kate shost maana nimebakia nashangaa kuambiwa nina nguvu na sijazitumia!! ndo nijikague nizijue nizitumie niache kulialia hapa ati. Mzima lakini babygal?

...aaahhh, sasa utaharibu. Be Yourself! ...ndio maana unapendeka na kuthaminiwa hivyo ulivyo.

..Curiosity killed the Cat,...lol...

Aahhhhhhhh sasa mbona unanibania bwana?!kidogo tu nakuahidi sitozidisha ni ya majaribio muda ukiisha nakuachia!! hahahahaha



[TD="class: btext, colspan: 2"]
A wife of noble character who can find? She is worth far more than rubies. Methali 31: 10 - 31
[/TD]


....................... Aksante kwa kunikumbusha mydia, I prefer to be more than rubies.
 
Reactions: Mbu
....Leo nimewakumbuka kina Joyce Wo wo wo...hivi 'vikarikenya' ambavyo vilikuwa vinachezeshwa 'kwasa kwasa' mitaani wakubwa na watoto wanashangilia!...

Kuna haja ya kujitazama mara mbili mbili na kuhakikisha isije ikawa nawe maishani kuna mtu anakufanya kituko mitaani jamani...Tuwe makini sana katika maamuzi yetu maishani. Tumepewa akili, tuitumie kwenye maamuzi mazuri na tuwe na misimamo thabiti. Kiukweli hakuna wa kulaumiwa kwa maamuzi yetu ila sie wenyewe.
Aibu mtu mzima kufanywa.. 'kikarikenya,'' msukule,' 'ATM,'' Buzi' na katika na hayo...

Nawakilisha.


 

.................. Mwe Mbu mbona unatufundisha kwa ukali jamani?......kikarikenya tena?!
 
Reactions: Mbu
.................. Mwe Mbu mbona unatufundisha kwa ukali jamani?......kikarikenya tena?!

...lol!.....Mwj1, ilishawahi muona Joyce Wo wo wo akichezeshwa?...
'Msukule' huenda hawatojali sana kwani unatumikishwa usiku tu, tena kwa kificho!

mtu 'anakuchezesha' maisha yako kama kikaragosi kisha watu wanacheeeeka!...noma.
Am out!
 

Mkuu umenikumbusha mbali sana
na kweli ni busara kuw amakini usije ukafanywa Joyce wowowo we unatumikishwa na kuchezeshwa kama kigaragosi wala hujitambui
 
Reactions: Mbu

Ni salamu tu my foot! Why should you entertain him? Kwanza alitakiwa hata namba yako ya simu asiwe nayo kabisa. Once you close one chapter, you better close it once and for all. Kuendekeza simu za ''salamu tu'' toka kwa ex wako ni kumuumiza hisia za mwenzi wako uliye nae kipindi hicho. Hebu fikiria na yeye akianza kupokea simu toka kwa ex wake za ''salamu tu'' mara kwa mara, wewe utajisikiaje?

Kwanza hata ile tabia ya uko na mtu kwenye mahusiano halafu awe anapenda kuongelea uhusiano wake uliopita kwa kumtaja ex wake mara kwa mara, au wakati mwingine kukulinganisha wewe na ex wake pia inaboa sana! Kifupi, tunatakiwa kuheshimu hisia za wenzi wetu.
 
Reactions: Mbu

Masaki upo umepotea sana
Umeongea la maana ila yahitaji moyo sana kuweza kuacha haya mambo maana unakumbuka mengi uliyofanya nae wakati mkiwa pamoja ndio haikuwork out ila bado huwezi kusahau
 
Reactions: Mbu
Masaki upo umepotea sana
Umeongea la maana ila yahitaji moyo sana kuweza kuacha haya mambo maana unakumbuka mengi uliyofanya nae wakati mkiwa pamoja ndio haikuwork out ila bado huwezi kusahau

Nipo Rocky! Let the bygones be baygones! Kama kapata ajali si ampigie simu huyo aliye nae sasa hivi? Na kama mama anaumwa, si aende kumsalimia akiwa akiwa na huyo mpenzi wake wa sasa? Sasa kama na wewe uko kwenye mahusioano mengine, au ndoa kabisa, utakuwa na mama wakwe wangapi? Maana huyo mkeo naye ana mama yake, na kwa familia zetu za Kiafrika, hata mama zake wakubwa na wadogo wote watakuwa mama tu kwako!

Kuna vitu ukiviendekeza vinaweza kukufanya ukaishi maisha ya mashaka na kusononeka wakati wote ilihali huyo aliyesababisha hayo yote anaishi kwa amani, raha mustarehe!
 

Masaki nakubaliana na wewe kabisa unaweza haya mambo yakakufanya ukawa kichaa.
Ukisoma thread kuanzia juu kuna tatizo somehwere ambalo ukishajiingiza humo ni nadra sana kutoka na kujitambua kuwa umeshakuwa msukule. Kama unakubali kupokea simu zake unakubali kujibu sms zake na ukiitwa unaenda haraka hata kama tatizo uliloambiwa halipo na bado unaendekeza mawasiliano jua kuwa ushakuwa msukule bila kutarajia na kujiondoa pia ni kazi kubwa sana
 
Reactions: Mbu

Rocky, hilo tatizo nimelisoma hapo juu na linaweza kuwa ni tatizo kubwa sana kwa mhusika. Mimi niko upande wa mwenza wa huyo msukule wa mapenzi. Anatakiwa kuingia kati, kuwa mkali na kuhakikisha anamsaidia mwenzake kujinasua katika mtego huo! Otherwise, hata uchumi wa familia unaweza kuyumbishwa sana na huyo ex. Pesa itakuwa inapelekwa huko bila wewe kujua!
 
Reactions: Mbu

Mkuu hilo sikatai na familia inayumba sana kama mwenza wa jamaa asipokuwa makini
Ila mkuu elewa haya mambo yanafanyika kisiri sometime yaani mawasiliano kati ya Ex na mwanaume husika yanakuw aya siri sana na kama ni pesa zinatoka bila hata mwenza kuambiwa
Maana ingekuwa masuala ni kushauriana hilo lisingekuwa tatizo na ni wachache sana wanaowaambia wenza wao kuwa Ex wangu ananisumbua na hao ni wale ambao hawajawa misukule
Msukule wa kweli hatoi siri wala haongei na Ex wake mke wake akiwa anasikia mawasiliano yanamalizika huko huko na kama ni kukutana ni huko huko na msaada ni huko huko
Ndo maana tunasema yahitaji sana moyo kulimaliza hilo tatizo
 

Dahh,...hapo kuna ugumu sana.
  • Kuna wale ambao wakiwashirikisha wenza wao wapya, [wenza wapya] wanakuwa wakali hawataki kusikia kitu hicho. Na,
  • kuna wale ambao 'wanahofia' wakiwashirikisha wenza wao wapya kinachoendelea, huenda wakakasirika na kuharibu zaidi!...
Almuradi ni Win-Lose situation!
 

Na hii situation ya pili ndo inaapply sana yaani keep silence for whatever done to someone's Ex
Na wanaume wengi ndo wanaitumia hiyo
 
MBU najaribu kuwaza hapa, hivi ex ambae sikuzaaa nae kwa mfano anawezaje kunifanya msukule,
 
Reactions: Mbu
MBU najaribu kuwaza hapa, hivi ex ambae sikuzaaa nae kwa mfano anawezaje kunifanya msukule,

Hivi unafikiri wanacare kwamba mmezaa wote
Ni ile kwamba mlikuw ana uhusiano na mlishawahi kuwa wenza anautumia huo mwanya kukufanya msukule wake kwa lolote lile
NA anatumia ujanja sana maana anajua hakuna lolote linalloweza kuwaweka pamoja
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…