Msukuma awajibu January na Nape asema kumkosoa hayati Magufuli ni nongwa kwa sababu wabunge wamekula viapo vya utii

Msukuma awajibu January na Nape asema kumkosoa hayati Magufuli ni nongwa kwa sababu wabunge wamekula viapo vya utii

Msukuma aambiwe Nape na Makamba si saizi yake.
Msukuma aambiwe na nani? Hao hao wenyewe wapambane nae kwa kumuelimisha na maneno yake yanayoshabikiwa na Ndugai!!! Mtu anasema bungeni eti matajili wote duniani hawajasoma na watu bungeni mnakubaliana na ujinga huo?? Matajili anaosema hawajasoma ni hao hao majambazi wenzie waliopata utajili kwa wizi!! Huko kwingine kwenye nchi za wenyewe MSUKUMA angekua jela kwa udanganyifu wa kupata hela benki na KUPARK kesi !!!
 
Kiapo ni batili mtu akishakufa mzee,

Hakuna viapo vya marehemu Mkuu, kama unapenda viapo subiri ukifa ukaendelee na viapo vyenu huko udongon
Sasa mawaziri akina Silinde mbona walikula kiapo kwa mwendazake na bado wanadunda barazani?!!
 
Msukuma aambiwe na nani? Hao hao wenyewe wapambane nae kwa kumuelimisha na maneno yake yanayoshabikiwa na Ndugai!!! Mtu anasema bungeni eti matajili wote duniani hawajasoma na watu bungeni mnakubaliana na ujinga huo?? Matajili anaosema hawajasoma ni hao hao majambazi wenzie waliopata utajili kwa wizi!! Huko kwingine kwenye nchi za wenyewe MSUKUMA angekua jela kwa udanganyifu wa kupata hela benki na KUPARK kesi !!!
Ni ......matajiri mkuu!
 
Hahahaaaa..... Msukuma hajui maana ya tajiri.
 
Hesabu zinazotumika na kina jk ni kali sana, hawa lasaba b hawatakuja kuamini macho yao! hao wanao wasema muda siyo mrefu watakuja kuwa mabosi wao. Hapo wametulizwa tu ila game itavyo change wasije kulialia.
Duuh.... La Saba B.
 
Musukuma elimu ndogo. Anafikiri kiapo alichokula bungeni kilikua ni kiapo cha kulitii JIWE. Jeshi ndilo linaapa kiapo cha kumtii Amiri Jeshi Mkuu. Yeye mbunge anaapa kuilinda na kuitunza KATIBA.
Kwahiyo amechanganya madesa?
 
Sasa mawaziri akina Silinde mbona walikula kiapo kwa mwendazake na bado wanadunda barazani?!!
Kuna upotoshaji mkubwa unaendelea hivi sasa huko Bungeni, inasikitisha na kutisha hoja za HOVYO zinazojadiliwa na kupigiwa meza!

Ila kuhusu mawaziri, TLS walimkumbusha Rais Samia inapaswa avunje Baraza, akapuuzia. Sasa wanadai kiapo chao hakipo juu ya Samia na wako sahihi!
 
Walikula Kiapo kwa Mtu aliyehai sio Marehemu

Darasa la saba wanatabu sana
Well said my friend!!!

Msukuma, Lusinde, Josephat Gwajima inaonekana wana lao jambo nyuma ya pazia ndio maana wanatumia nguvu mnoo kwenye hoja zao to the extent kwamba inakuwa inaku ni vigumu sana kueleweka na watu wenye upeo wa kuelewa mambo.
 
Hao usiwalaumu ni kundi la vichaa, ndio raha ya demokrasia hiyo, hata vichaa wapo bungeni kuwakilisha vichaa wenzao
 
La Saba wamejaa mipasho kwenye jumba la Maisha ya Watu .La saba wanazidi kuonyesha Ulaasaba Wao. MDA NI MWALIMU MZURI NGOJA TUONE CCM imegawanyika vipandevipande bungeni
 
Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma amesema kuna wabunge wanadai kumkosoa hayati Magufuli siyo nongwa lakini sisi tunasema ni nongwa kwa sababu wabunge tumekula kiapo cha utii.

Msukuma alikuwa anampa taarifa mbunge wa makambako mh Jah people aliyesema wabunge wameingia bungeni kwa nguvu ya hayati Magufuli na wasaidizi wake mama Samia na mh Majaliwa
Jah people amesisitiza waliokosa teuzi wawe wavumilivu kwani wabunge ni wengi vyeo ni vichache.

Hayo ni majibu murua kwa wabunge waliopitishwa bila kupingwa January Makamba na Nape Nnauye.

Ramadhan Kareem!
Kuna siku niliwahi leta uzi humu kuwa siku magufuli hayupo kuna wabunge watakuja kuchapana mgumi wenyewe kwa wenyewe kati ya wabunge wa yimu magu na wabunge wa timu jk bado kidogo litimie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom